Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Machozi yana nitoka...nimenunua hp laptop 999,999 shillingi....nikijua hp ni kampuni ya marekani only to find imetengenezwa China ...maskini sijui itadumu maana vitu vya china kila mara ni feki
1 Reactions
38 Replies
3K Views
Je ni utapeli au ni namaba gani hii jamani: +255901000000 imenipigia, hii sio kawaida jamani... Naomba msaada kwa ayejua ni namba gani hii?
0 Reactions
3 Replies
1K Views
ipi ni njia sahihi ya ku-charge simu? yaani inatakiwa u-charge ukiwa umeizima au umeiwasha? na kwenye laptop ni wakati gani inatakiwa kuwa kwenye moto? ni mpaka iishe kabisa au muda wote?
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wadau naomba msaada wenu, natumia BB curve, kwenye picha inanipa option ya ku hide picha, tatizo sasa baada ya kuhide sijui zinakuwa zimejificha wapi.....naomba msaada wenu kujuwa wapi naweza...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Wakuu wa kaya habari za mida hii Nimejitahidi kugoogle lakini sikuelewa vizuri japokuwa nimeelewa kuwa hii gharama yake ni nafuu kuliko ile ya kutumia dish mbili kwa network ya ADSL.Naomba kwa...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
habari za asubuhi wan jf leo nimeona tuidiscuss google kwa undani wake kwa maana ya kampuni kwa ujumla nionanvyo mimi baada ya miaka 10 ijayo kama sio mingi oogle watakuwa hawana mpinzani ktk...
2 Reactions
78 Replies
7K Views
wakuu husika na kichwa cha thread hapo juu, nina laptop aina ya lenovo G450 na niliiformat baada ya kushindwa kubadili lugha toka kichina. Baaada ya kuformat drivers kibao hazijarudi ikiwamo ya...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Nisaidieni Wakuu Kwa Yeyote Mwenye Ujuzi,Au Sehemu Ambayo Nawesa Saidiwa!
0 Reactions
1 Replies
882 Views
Jamani naombeni mnisaidie ni wiki ya pili sasa sipati internet nikitumia line ya voda... Tatizo lenyewe ni kwamba nikichomeka modem,inaconnect vizuri tu lakini nikijaribu kufungua website yoyote...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Who Is Connected To Wireless Network? When you have wireless router to connect wireless then you must know how many people are connected and using your wireless network as I do keep tab on all...
1 Reactions
20 Replies
6K Views
Wadau Niko Dar,Kwa Mtu Yeyote Anaetoa Mafunzo Ya Utengenezaji Wa Beat\Instumental! Je,Ada Ni Bei Gani? AHSANTENI,nasubiri Michango Yenu!!!
0 Reactions
15 Replies
3K Views
i need to learn archicad and other interior designing software. Anyone can help me in getting a teacher urgently ? Thank you
0 Reactions
2 Replies
904 Views
Wakuu nimejaribu ku-install AVG antivirus kwa laptop yangu.Nimeweka license key lakini katika process ya ku-install naona inaandika copying files since yesterday(tar 12) mpaka hivi sasa(tar 13)...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Natumia line ya waridi kwenye cm yangu nipo uganda na nimechoka na kununua bandlez kila cku mwenye maujanja ya kuhaki internet anisaidie,na2mia nokia c2.
0 Reactions
3 Replies
999 Views
Jama socket switch huwa zinaungua kila nikiweka hita kwajili ya kupasha maji je nifanye nini? Kwa sasa natumia eneo lenye xtension sijaona tatizo bado sijajua kama nayo itakuwa na tatizo! Msaada...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
wana jf kwa wale mliotumia windows 8 je mnaiyonaje itakuwa ni bora na ni nzuri kuliko windows 7 mana ktk windows zilizotokea kupwendwa tokea zama za window me windows xp windows vista na windows 7...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Nini kifanyike ili kupunguza possibilty ya hackers kuhack website yako? Tushauriane jamani... pia kwa wale wanaotumia php kudevelop web application ninacho kitabu kwa ajili ya security issues...
0 Reactions
24 Replies
2K Views
nina kibanda changu nazugia,kwa mwenye cd format za pal zisiwe ntsc,nitafute.kama fifa,pes car racing au za mission itakuwa poa. pia kama una games za pc.bei isiwe kubwa.0718141621
0 Reactions
0 Replies
1K Views
nimejaribu disassembling the console nakusafisha na methyl spirit but still nothing. help please!
0 Reactions
3 Replies
1K Views
  • Closed
jamani nimekuwa mwanachama wa facebook km miezi minanae sasa ila nataka kujiondoka kabisa pia niondoe picha zote yaani nisiwe na account humo..... nifanyeje???????????????????:spy::A S confused::A...
0 Reactions
23 Replies
11K Views
Back
Top Bottom