tatizo:mavitu ye2 yale

Parata

JF-Expert Member
Jul 26, 2011
3,090
675
wadau niko scuk kidogo jaman xo nlikua c iingie humu ndani ila yale mavit yet hayapg kaz na najua ypo mliobahatka kupalta plz ni pm maujanja jaman
 
wadau niko scuk kidogo jaman xo nlikua c iingie humu ndani ila yale mavit yet hayapg kaz na najua ypo mliobahatka kupalta plz ni pm maujanja jaman

Mkuu hata mimi nilikuwa nimetoka kidogo nimerudi majuzi nimekuta kila kitu kimeharibika, hata line niliyokuwa nikitumia,jamaa wamweishaipiga pini,hata haisomeki kwenye modem.

Kuna jamaa ameniambia ile unlimited ya voda siku hizi haishuki speed kama ilivyokuwa mwanzo, naomba kuuliza kama kuna yeyote anayetumia unlimited anithibitishie kama ni kweli kabla sijaingia mkenge kama mwanzo.
 
Back
Top Bottom