Unsubscribe from yahoo group

Carina

Senior Member
Jan 4, 2011
190
65
Hi wanajamii, I don't know kwamba hili ni jukwaa sahihi la kuleta ombi kwenu msaada .................. ni kwamba nina Email ya Outlook ambayo nimesubscribe kwenye yahoogroup sasa nataka kujitoa kila nikituma Blank Email kwenda yahoo group no response hence zile Email za group zinaingia kwenye Email hii ya ofisini (Outlook) sasa inakuwa kero sana.

Nimejaribu kutuma Unsubscribe Emails nyingi sana lakini sipati Email yeyote ya confirmation from yahoo group,

Nisaidie tafadhali wandugu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom