Msaada wa haraka unahitajika: Hotel reservation software | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada wa haraka unahitajika: Hotel reservation software

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Visitatanzania, Oct 18, 2012.

 1. V

  Visitatanzania Member

  #1
  Oct 18, 2012
  Joined: Jul 25, 2012
  Messages: 29
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Heshima kwenu wakuu,
  Tafadhari naomba kujulishwa ni software gani nzuri na maarufu zaidi kwa ajili hotel reservation ambayo ninaweza kuinstall pia code zake online kwa ajili ya online booking kwenye website ya kihotel changu. Nahitaji ambayo ni free source au ya kulipia lakini ina free trial kwanza.

  Shukrani
   
 2. hbi

  hbi JF-Expert Member

  #2
  Oct 18, 2012
  Joined: Feb 6, 2011
  Messages: 605
  Likes Received: 154
  Trophy Points: 60
  Website yako umetumia technologia gani kuitengeneza?
   
 3. V

  Visitatanzania Member

  #3
  Oct 19, 2012
  Joined: Jul 25, 2012
  Messages: 29
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nimetumia wordpress mkuu, karibu
   
 4. morphine

  morphine JF-Expert Member

  #4
  Oct 19, 2012
  Joined: Jan 26, 2012
  Messages: 2,564
  Likes Received: 109
  Trophy Points: 160
  afadhali umeomba huo msaada na mimi nisubiri matokea maana nitaiihitaji nafikiri siku za karibuni
   
 5. hbi

  hbi JF-Expert Member

  #5
  Oct 19, 2012
  Joined: Feb 6, 2011
  Messages: 605
  Likes Received: 154
  Trophy Points: 60
  Jaribu kusearch reservation plugins zitakuja nyingi alafu unaweza ukachagua yoyote... pia unaweza kujaribu hii Wordpress < Guestcentric .. Option nyingine ni kuinstall plugin ya form ambayo ina autoresponder then unatengeneza field za mtu kujaza kulingana na details unazotaka kuchukua... ila option nzuri ni kusearch kwa iyo plugin niliyokuambia zipo za free na za kulipia
   
Loading...