msaada

sky_haf

JF-Expert Member
Oct 7, 2012
220
23
wana Jf naomba msaada wa kujua key za wireless ya jiran, siwez kumuomba, au kama kuna thread yoyote humu kwenye jukwaa naomba kuonyeshwa.
 
kwa namna moja ama nyingine huwezi jua password hizo mpaka akupatie mwenyewe, pia kama unataka kwa zile njia nyeusi kazi sio ndongo kiasi kwamba sizani ina umuhimu mkubwa kiasi hicho.
 
Sawa mkuu
 
ungekua unatumia android ningekushauli u download ki aplication flani kinaitwa wifi hacker, hako ni noma kina hack key za wireless but ni ssid tu
 
Android aina ya sim? Kama sim haiwez kukubali kwa Nokia 6120c, then key nka2mia kwenye laptop
 
simu yoyote inayosuport android namaanisha mana nimeshajaribu kumsaidia mtu kudownload kwenye nokia but kiligoma nafikili hakisuport win mobile, ni android tuu
then key inazohack waweza tumia kwenye laptop ndio
 
Back
Top Bottom