I dont knw how to recover my unallocated space after shrinking my hard disk.PLEASE Help

Epicauta elbovitata

Senior Member
Mar 19, 2012
143
19
Habari za muda huu wakubwa..Owky mim nilikua nataka kupartition External Hard disk yangu na kwa kua sijui nikagoogle procedures but unfortunately niligooogle procedures za kushrink..Hard disk ni ya 500GB na baada ya kuishrink inaonesha ina 200GB sasa nahitaji kuirudisha kwene its original size na siwez..Help me guys what should I do

HELP WILL BE VERY MUCH APPRECIATED
 
ok, its very esy..
Nenda kwenye disk management by right click my computer>manage>disk mgt then utaona list ya disk space zako zote za pc na external (make sure ume i connect) ukiangalia kw makin external yako, sehemu zote zinazo onekana(located space) zina rang ya blue ikiwemo hiyo 250 gb , na ambayo haionekan ina rangi nyeusi, chakufanya right click hiyo icyo onekana yenye rang nyeus na changua neno 'lacate' ndio utaweza kuiona na utakuwa una partition 2, kama unataka kuirudishia kama mwanzo bila partition, i right click hiyo nyeus na chagua delete volume.
Aksante kama umenielewa, ukishindwa call me 0715812160 for more helpl
 
yeah nimekuelewa vizur xana..aksante sana na ntarudisha feedback soon after doin it.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom