Web Hosting Trial

SamJet

Senior Member
Jul 22, 2009
162
13
Habari kwa wanateknohama, natafuta trial web hosting. Kama unafaham yoyote dondosha link hapo chini
 
Habari kwa wanateknohama, natafuta trial web hosting. Kama unafaham yoyote dondosha link hapo chini

Naweza kukupa 30 days trial through sub domain on our server

After trial period you will pay hosting package with full domain at Tsh 108,000 per year

Email: info@primax.co.tz
 
Naweza kukupa 30 days trial through sub domain on our server

After trial period you will pay hosting package with full domain at Tsh 108,000 per year

Email: info@primax.co.tz

Asantr alphonce, ila not with subdomain, and Do your severd have iconcube? I need them for my.....
 
Asantr alphonce, ila not with subdomain, and Do your severd have iconcube? I need them for my.....

Unataka ioncube ya nini?

Hosting yangu ninayotumia mimi ina ioncube loader 4.0.9 i hope itafaa ni hostinger

Version ya kingereza wanauza hosting ila ya kirusi hawauzi ni bure kwa size ya 2gb hosting na 100 gb za bandwitch kila mwezi.

Kama hutajali tumia google chrome itatafsiri ukishatengeneza acount utaona option kwenye cpanel ya lugha eka english.

Na kama hutajali tena tumia referal link yangu.

website inaitwa hostinger.ru

Ref yangu

Бесплатный хостинг с поддержкой PHP и MySQL, сайт билдером и никакой рекламы.

Kupima speeed ya server zao cheki speed ya blog hii
bongotricks
 
Habari kwa wanateknohama, natafuta trial web hosting. Kama unafaham yoyote dondosha link hapo chini

trial? u mean kkwa ajili ya kutestia site zako?

kama chief-mkwawa alivyoelekeza hostinger ni wazuri except language wananisumbua, mimi pia nimehost kwao kwa ajili ya kutest site zangu.....

mimi na prefer x10hosting.com japo hawakupi webspace kubwa kama hostinger lakini hawajawai kuni dissapoint tangu nimeanza kuwatumia....
 
Last edited by a moderator:
chief-mkwawa we ndo mwenyeji wa hizi mambo, ilovetz.com na hostinger.ru wanatumia script moja?
 
Last edited by a moderator:
yap... Da same script bro

For what i know hostinger ndio source ya free hosting wengi maana nshatest free host nyingi nakuta chini unahost blog sometime inaandika powered by hostinger. Nikaitafuta nkakuta sio bure unalipia (hostinger.com). Ndo kuna siku nkaona forum flan kupata bure lazma utumie hostinger.ru

Ila mpaka sasa sjajua labda bwana donn utuambie hizi website kama ilovetz ni reseller? Na ilove tz wanatoa space na bandwitch ngap?
 
chief-mkwawa, nilitaka kupata free subdomain kwa Donn lakini nikawaza huyu anawezaje kupata reseller account, huyu Donn nnaemjua anawezaje kutoa huduma sawa na makampuni online, hapo nikakosa majibu, since natumia script kubwa km joomla na zingine, tatizo hajasema anatoa webspace na bandwidth kiasi gani, ndo maana leo nikaamua kufanya comparison ili nijionee mwenyewe!

ila in how, Donn deserves congrats, its good step towards mafanikio,
 
Last edited by a moderator:
Natoa Bandwidth ni 100GB disc space 500MB Free na 10GB Plan.

Na Hostinger ndio wameedit script nyingi za autoinstall.

And thnx C6
 
Last edited by a moderator:
Natoa Bandwidth ni 100GB disc space 500MB Free na 10GB Plan.

Na Hostinger ndio wameedit script nyingi za autoinstall.

And thnx C6

nitafute baadae nikuelekeze kitu dogo
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom