Vodacom Streaming Speed, Amazing Admire the speed :)! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Vodacom Streaming Speed, Amazing Admire the speed :)!

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by e2themiza, Oct 18, 2012.

 1. e2themiza

  e2themiza JF-Expert Member

  #1
  Oct 18, 2012
  Joined: Mar 29, 2011
  Messages: 973
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 45
  Niaje mazee leo nime amua kuonyesha how fast voda ipo katika streaming nime make video iyo hapo ujionee mwenyewee.. Na angalia vizuri hapo nawatch kwa 720p HD! Voda keep ROCKING!

   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 2. SHAROBALO

  SHAROBALO JF-Expert Member

  #2
  Oct 18, 2012
  Joined: Mar 17, 2011
  Messages: 780
  Likes Received: 101
  Trophy Points: 60
  cool...na hii background music is so cool
   
 3. e2themiza

  e2themiza JF-Expert Member

  #3
  Oct 18, 2012
  Joined: Mar 29, 2011
  Messages: 973
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 45
  hehe ni sound track ya inception "mind heist" mkuu.. dah good to see you back pande hizi welcome back mkuu!
   
 4. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #4
  Oct 18, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  kwanini kwenye simu yangu samsung C6625 huwa hizo youtube za hivyo haziplay nini tatizo SHAROBALO na e2themiza
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 5. SHAROBALO

  SHAROBALO JF-Expert Member

  #5
  Oct 18, 2012
  Joined: Mar 17, 2011
  Messages: 780
  Likes Received: 101
  Trophy Points: 60
  haha thanks to you mkuu nimerudi ila just for two wiks mkuu ila pamoja sanaaaa
   
 6. e2themiza

  e2themiza JF-Expert Member

  #6
  Oct 18, 2012
  Joined: Mar 29, 2011
  Messages: 973
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 45
  haziplay how kuna mengi Moja wapo inawezekawa iyo video haijasetiwa kuplay kwny mobile device.. kwako tatizo linasemaj?
   
 7. SHAROBALO

  SHAROBALO JF-Expert Member

  #7
  Oct 18, 2012
  Joined: Mar 17, 2011
  Messages: 780
  Likes Received: 101
  Trophy Points: 60
  kama bado unatumia micosoft window mobile 6.1 labada uupdate kwanza sababu hio ilikuwa na bugs...na version mpya imeshatoka. may b itasaidia check Microsoft Announces Windows Mobile 6.1 jaribu fanya updates
   
 8. nash2010

  nash2010 JF-Expert Member

  #8
  Oct 18, 2012
  Joined: Jun 18, 2010
  Messages: 631
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 45
  kwa speed dar airtel wanaongoza, ila bei zao ni maalum kwa wale wakishua.
  Vodacom speed ni ya kawaida tu hapa dar, ila bei zao ni poa SANA.
   
 9. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #9
  Oct 18, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  inakuwa blank to bila maelezo yoyote mkuu ndio maana nashindwa kabisa kuelezea hata tatizo na kwa upande wakusema kuwa mpaka iwe imesittiwa kuonesha kwenye simu na wezakukubali kwani kunazingine zinaplay fresh tu.. thanks for ur reply
   
 10. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #10
  Oct 18, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,776
  Likes Received: 7,094
  Trophy Points: 280
  Kuplay hd sio network bali ni feature ya device mkuu.

  Hd hasa kwa simu full hd inapatikana kwa 12xx kwa 7xx namanisha mfano 1200 kwa 760 so simu yako haiwezi kuplay hd.

  Pili ili video ya hd iplay vizuri bila scratch inabidi network iwe na kasi na hapo tena device inabidi iwe na uwezo huo we simu yako ina 3.6mbps ambayo ni sawa na 450KBps hio ndio full speed unayoweza fikia ambayo huwez stream hd

  So mkuu kama unataga hd kwa simu lazma uwe na high end smartphone kama samsung galaxy 3, lumia 920 na zifananiazo
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 11. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #11
  Oct 18, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  nimejaribu kuangalia link ya kudownload updates siioni kabisa... plz help hiyo link ya kudownload updates hizo..
   
 12. mopaozi

  mopaozi JF-Expert Member

  #12
  Oct 18, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 3,290
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Kwa speed voda na tigo mnatisha ila hawa zantel ni ovyoooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo tangu ijumaa hakuna huduma ya internet kwa anayenunua kifurushi kipya usilogwe ukaweka kifurushi utaliwaaaaaaaaaaaaaaaaaa kaa chonjooooooo wamekula elfu 20 yangu ijumaa sina hamu naooo sasa niko na kitu cha Tigooo spidi 320 safi sana voda na tigo kwa kutoa huduma za uhakika.
   
 13. Mwakalinga Y. R

  Mwakalinga Y. R Tanzanite Member

  #13
  Oct 18, 2012
  Joined: Oct 22, 2008
  Messages: 2,718
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 145
  safi sana
   
 14. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #14
  Oct 18, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  thanks sana kwa maelezo yako mkuu chief m na kama nataka ku upgrage kutoka 6.1 kwenda 6.5 inawezekana..
   
 15. Uncle Rukus

  Uncle Rukus JF-Expert Member

  #15
  Oct 18, 2012
  Joined: Jun 16, 2010
  Messages: 2,430
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Modem yako ni 7.2Mbps? nimewakubali vuda wako juu!!
   
 16. Uncle Rukus

  Uncle Rukus JF-Expert Member

  #16
  Oct 18, 2012
  Joined: Jun 16, 2010
  Messages: 2,430
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Ha ha ha! nafurahi kukuona hapa mkuu, usipotee kihivyo mkuu.
   
Loading...