waungwana, kuna m2 anataka kuniuzia canon IR3170 CI, ila sasa cjui kama hyo toner zke zinapatkana na vifaa vyake kama vpo, kama unaifahamu embu nisaidie
Wadau wa Jukwaa hili nimeona si mbaya nikafungua huu uzi ili kwa wale wataalamu wa Mambo ya Mawasiliano Pepe (Telecommunications ) tuweze kushare Ujuzi na Maexperice tuliyo nayo ili Madogo waje...
Atom Smasher Creates New Kind of MatterBy Clara Moskowitz, LiveScience Senior Writer | LiveScience.com 9 hrs ago
Email
Share
Share2
Print
Related Content
Enlarge Photo...
Ancient Microbes Found in Buried Antarctic LakeBy Charles Q. Choi, OurAmazingPlanet Contributor | LiveScience.com 17 hrs ago
Email
Share
Share3
Print
Related Content...
Inakuwaje BOT domain inafikia wakati inakuwa expired, na mbaya zaidi inalipiwa renew ya 1yr...
Jirekebisheni IT wenzangu aisee iko siku mwendawazimu mmoja ataiona imekuwa expired atainunua na...
PhotoFiltre
Photo Editing And EffectsPhotoFiltre is a complete image editing and effects package, that will not only surprise you with features but also with the
fact that it is free (for...
Jamani waungwana natumia simu ya nokia E7 nawezaje kupata application kwa kutumia email kwani kwenye ovi naona kama kuna limitation na baadhi ya application hazipo.
Wakuu flash inagoma onesha mafaili hata nikiweka ok kwenye show hiden folder ila inataka nitoe tiki kwenye folder optio0n sehemu iliyoandikwa "hide protected operating system files(recomended)"...
Habari zenyu wakuu,
Nimeidevelop website hii http://nellysinn.net kwa kutumia wordpress, mi siyo mtaalamu sana wa wordpress but nimejaribu. Naombeni ushauri wenu kama nimepatia na kama...
ni juzi tu samsung alizindua simu ya kufunua yenye candybar na leo nae nokia katoa simu ya candybar je hii inamaanisha nini? Kama hujui candybar ni simu zenye button 3 kiupana ambazo ukitype...
hellow Naomba kuuliza Bei ya Ram Gb Moja ni sh Ngapi pamoja na ufundi je ninaweza kubadilisha Ram peke yake bila kubadilisha vitu vingine kwenye laptop thankx
wakuu nadhani mmeelewa heading,nina tablet yangu n ya toshba inasupport wifi tu na ina kijisehemu cha kuingiza modem au flash ila haisapot modem nachotaka ni mnishaur nifaneje au nitmie laptop...
wanabodi habari yenu! mimi ni mgeni kabisa katika haya maswala ya dish naomba mniweke sawa kidogo nina maswali yafuatayo katika huu ulimwengu wa FTA
1 ) what is KU Band na C band ...?
2) Je...
if you want the latest technological news in Tanzania and how to do something for your phone you can visit us today n we gonna help you you can like our facebook page and twitter page
and don...