Wataalamu, mwaionaje website hii?

Fadhili Paulo

Verified Member
Sep 1, 2011
3,227
1,195
Habari zenyu wakuu,

Nimeidevelop website hii http://nellysinn.net kwa kutumia wordpress, mi siyo mtaalamu sana wa wordpress but nimejaribu. Naombeni ushauri wenu kama nimepatia na kama nimekosea ni wapi pa kurekebisha.

Natanguliza shukrani zangu.
 
Nyasiro

Verified Member
Feb 20, 2012
1,199
1,225
ni ya kawaida sana. ki ukweli haivutii kwanza kabisa hiyo background ya buluu mimi sijaipenda. Background huwa inapendeza ikiwa katika mtindo wa gradient sio solid color. mfano angalia background ya humu Jamii Forums unaona ilivyo eeeh. kwa kua umesema ww sio mtaalam sana wa mambo hayo inabidi uchukue muda mwingi kujifunza kwa kuangalia kazi za wengine. yangu na hayo tu....
 
Fadhili Paulo

Verified Member
Sep 1, 2011
3,227
1,195
Mkuu Nyasiro, Nashukuru kwa ushauri wako, kama nilivyokuambia mi siyo mtaalamu sana kama wewe, Ukiacha background ambayo naweza kuibadili dakika hii hii, kuna nini kingine?, karibu mkuu.
 
ndetichia

JF-Expert Member
Mar 18, 2011
27,663
2,000
huko chini kwenye attribute kuanzia kwenye po box haina maana ungeitoa tu uache hizo copyright tu..
 
Nyasiro

Verified Member
Feb 20, 2012
1,199
1,225
Mkuu Nyasiro, Nashukuru kwa ushauri wako, kama nilivyokuambia mi siyo mtaalamu sana kama wewe, Ukiacha background ambayo naweza kuibadili dakika hii hii, kuna nini kingine?, karibu mkuu.
hata mimi sio mtaalamu sana. bado naipitiapitia
 
Aqua

JF-Expert Member
Jul 23, 2012
1,586
2,000
Habari zenyu wakuu,

Nimeidevelop website hii http://nellysinn.net kwa kutumia wordpress, mi siyo mtaalamu sana wa wordpress but nimejaribu. Naombeni ushauri wenu kama nimepatia na kama nimekosea ni wapi pa kurekebisha.

Natanguliza shukrani zangu.
Mi si mtaaramu wa wordpress ila nitakushauri generally katika website bila kujali imetengenzwa kwa kutumia nini.Naungana na aliyekwambia kuhusu background color ya blue,consider changing it,tafuta rangi ambayo si kali(epuka white,green,red,blue) tumia gradient color.
Kwenye page ya rooms and rate jaribu kuongeza size ya image pale chini.Pia upana wa footer haulingani na wa contents.Pia footer ina curved corner kama unaweza ondoa curved corner za juu bakiza za chini.Pia consider changing background color ya input field inaumiza macho pale wateja wanapojaza details zao,rangi ya input field inaumiza macho_Otherwise good start.
 
Mkuu, awali nilipendelea kuweka blue background kuonesha namna bahari ilivyo karibu na hotel hiyo. Nimeondoa kabisa blue, nimeepuka white, green na red. Siwezi kuongeza size ya image hizi kwakuwa zita-loose quality, ni lazima nipige zingine zenye ukubwa mzuri kama unavyoshauri mkuu.

Kuhusu upana wa footer kulingana na content, sioni kanuni ya kufanya hivyo, kuna tatizo gani kama footer width iki-differ na content width, otherwise nifundishe tafadhari.

Rangi ya input kwenye booking form sasa ni nyeusi tii kama ubao wa shule ya msingi halafu pen inayotumika ni chaki nyeupe, kama bado inumiza nielekeze nitumie colour ipi.

Pia nielekezwe shida ya hizo curved corners za footer.

Shukrani.
 
Fadhili Paulo

Verified Member
Sep 1, 2011
3,227
1,195
huko chini kwenye attribute kuanzia kwenye po box haina maana ungeitoa tu uache hizo copyright tu..
Mkuu, nimerudi tena, nimeshaondoa kama ulivyoshauri, lakini bado unipe ufafanuzi kuna ubaya gani kuweka vile mwanzoni. Ahsante.
 
Moony

JF-Expert Member
Apr 16, 2011
1,597
1,195
Inaelekea unapenda sana masifa, sasa kila mtu akiweka yake sijui itakuwaje. Lakini kwa kukutia MOYO, KWA KWELI UMEJITAHIDI, ni nzuri sana umewazidi hata walimu wako. Keep it up nitengenezee na mimi
 
Bilionea Asigwa

JF-Expert Member
Sep 21, 2011
16,358
2,000
Ni nzuri kwa appearance lakini sijajua kama functionality zipo owkey maana inahitaji muda kutafiti kama yaliyom yamo...ila kwa general appearance ina mvut mzuri sana
 
Moony

JF-Expert Member
Apr 16, 2011
1,597
1,195
ni ya kawaida sana. ki ukweli haivutii kwanza kabisa hiyo background ya buluu mimi sijaipenda. Background huwa inapendeza ikiwa katika mtindo wa gradient sio solid color. mfano angalia background ya humu Jamii Forums unaona ilivyo eeeh. kwa kua umesema ww sio mtaalam sana wa mambo hayo inabidi uchukue muda mwingi kujifunza kwa kuangalia kazi za wengine. yangu na hayo tu....

Si kweli kwamba haivutii sema tu hizo rangi hazikupendezi, mbona ni bomba? usimkatishe tamaa
 
idawa

JF-Expert Member
Jan 20, 2012
23,460
2,000
hongera umejitaidi, kuhusu rangi jf inaweza kuwa mwalimu mzuri kwako..wakati mwingine rangi inachangia mvuto hata kama kitu kibaya.!
 
Fadhili Paulo

Verified Member
Sep 1, 2011
3,227
1,195
Inaelekea unapenda sana masifa, sasa kila mtu akiweka yake sijui itakuwaje. Lakini kwa kukutia MOYO, KWA KWELI UMEJITAHIDI, ni nzuri sana umewazidi hata walimu wako. Keep it up nitengenezee na mimi
Mkuu, amini usiamini kuileta kazi hapa inahitaji moyo lakini ukweli ni kuwa inasaidia sana siwezi kubisha, siyo zote naleta hapa ni zile tu sensitive ndiyo huwa nakuja kuomba ushauri hapa, hii ni mara ya pili tu.

Yakwako inahusu nini? niambie kama haipo complicated sana naweza kukufanyia bure kabisa utalipia tu hosting ila chini lazimaniache signature yangu. Thanks by the way.
 
Fadhili Paulo

Verified Member
Sep 1, 2011
3,227
1,195
Ni nzuri kwa appearance lakini sijajua kama functionality zipo owkey maana inahitaji muda kutafiti kama yaliyom yamo...ila kwa general appearance ina mvut mzuri sana
Hapo chacha, itabidi uhudhurie hapo mkuu kuthibitisha. Ahsante sana kwa muda wako.
 
Mathematician

JF-Expert Member
Nov 8, 2009
325
195
iko poa lakini kaka lakini we ukiwa ni mkristo hivi bar (pombe) yesu karuhusu. Nyinyi (wakristo) ni watu pia msijifanye kila maovu yesu karuhusu, kutembea uchi, kunywa pombe, kula nguruwe n.k kumbukeni kifo ndugu zangu.... hata hivyo website yako ni nzuri sana lakini tatizo la wengi ni functionalities kama alivyosema wangu hapo juu. Bongo website nyingi haziclickiki/hazinavigatiki na info/matangazo not up to date....nenda hapa uone madudu... University of Dar es Salaam - Tanzania - Home - .....
 
Mkuu, ahsante, maneno yako yanachoma kweli, sasa tutafanyaje na tunatafuta pesa?. Unajuwa nilivyoexperience mimi wamiriki wengi wa websites wanadhani website ikishakaa hewani basi kazi imeisha, hawataki kuendelea kulipia kwa ajili ya updates au wajifunze wenyewe ili wawe wana-update wenyewe na web designers wengi wanaona kutengeneza website ni jambo nyeti lisilotakiwa kushirikisha mteja, mi naona ni heri web inapotengenezwa kuwepo na tutorials hata kama kwa 2 weeks kumwelekeza mmiriki aweze kuwa ana-update web yake mwnyewe, lakini bongo bado hii ni siri.

Kuhusu hiyo ya UDSM naona ni makusudi tu maana pale kama ni wataalamu wa IT pale ndiyo hawana idadi.
 
Mjanga

JF-Expert Member
Feb 13, 2011
1,241
1,225
Hongera sana MKUU kazi nzuri, lakini naungana na wadau wengine kuwa Background color is not user friend!
tafuta color yenye texture nzuri!

Top Bottom