Help about Ram.

Mr Penal Code

JF-Expert Member
Jul 9, 2012
823
213
hellow Naomba kuuliza Bei ya Ram Gb Moja ni sh Ngapi pamoja na ufundi je ninaweza kubadilisha Ram peke yake bila kubadilisha vitu vingine kwenye laptop thankx
 
Mkuu, ukiulìza kitu humu inabidi uwe mpole kusubiria. Majibu mengine huwa yanachukua mpaja siku mbili. Usidhani kuwa umechuniwa. RAM hazifanani bei, weka precise model, na wadau watakuambia, maana ndo hawahawa baadhi wanauza. Huhitaji fundi kubadili RAM, unless kama hauwezi kabisa, ni rahisi tu. Mwisho, unaweza kubadili/ongeza RAM peke yake.
 
kumbee fresh mdau..
 
Mdau ka vipi weka specs za hiyo ram iliyopo na naweza kukuuzia kwa bei fresh maana ninazo kadhaa mpya.Bei ya fasta fasta dukani according na version yenye 1GB huwa kati ya sh Elfu 80 hadi Elfu 50.
 
Back
Top Bottom