kwa wataalamu wa joomla

Dishunga

Dishunga

JF-Expert Member
Jun 11, 2012
276
195
wataalamu nimeshindwa kuuistall joomla 2.5 kwa localhost nimetumia xampp,wampserver ila wapi
inaleta erro kwenye kuconnect database.msaada wakuu
 
Stefano Mtangoo

Stefano Mtangoo

Verified Member
Oct 25, 2012
3,965
2,000
wataalamu nimeshindwa kuuistall joomla 2.5 kwa localhost nimetumia xampp,wampserver ila wapi
inaleta erro kwenye kuconnect database.msaada wakuu
Inaleta ujumbe gani?
 
Top Bottom