Hii flash imefikia wapi sasa huku?


G spanner

G spanner

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2011
Messages
489
Likes
33
Points
45
G spanner

G spanner

JF-Expert Member
Joined Mar 30, 2011
489 33 45
Wakuu flash inagoma onesha mafaili hata nikiweka ok kwenye show hiden folder ila inataka nitoe tiki kwenye folder optio0n sehemu iliyoandikwa "hide protected operating system files(recomended)" hivi kwa had hapa inakuaje? Msaada wa mawazo pls!
 
Williedm

Williedm

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2011
Messages
494
Likes
87
Points
45
Age
27
Williedm

Williedm

JF-Expert Member
Joined Nov 30, 2011
494 87 45
kama haitaki kuonesha mafile download usb show toka softpedia itakusaidia kiurahc,,, hata google inapatikana
 

Forum statistics

Threads 1,237,483
Members 475,533
Posts 29,290,309