kiukweli nimempa mtu anisaidie kuiweka ubuntu kwenye pc
yangu akanambia anasikia kuwa ukitaka kuweka
programme kwenye ubuntu zinakataa au nyingine mpama
uwe online ndo ziweze kuwekwa...
Wakuu kuna baadhi ya apps nilizoshusha kutoka google Playstore, na kuna baadhi nahitaji kuzi uninstall kwa kutumia njia ya kawaida ya application manager lakini zinagoma kabisa. Msaada tafadhali...
......hii ni Mara ya pili sasa bada ya kuatafuta mawazo yenu na kuyatendea kazi sasa nimerudi tena.....kuwakaribisha katika tovuti ya simu(wapsite) ya kibongo kwa ajili ya downloads ndogondogo za...
Wadau kuna hizi sofware za kufukuza mbu ambazo zinapatikana kwenye platforms tofauti kama android n.k.
Swali langu ni kama zinafanya kazi kweli au magumashi, nimedownload moja lakini sioni kama...
NA MIMI NIMEJARIBU KUTENGENEZA HII FORUMS JAMANI!!! HEBU IPITIENI THENI MNIPE USHAURI,NA MNIKOSOE KWENYE MAKOSA NA VITU KAMA HIVYO!!!!!! HII IPO KIBURUDANI NA URAFIKI ZAIDI
Chatz Forum
PIA...
Najua alternative moja tuu, kwenda au kutumia makampuni ya simu kutrack mawasiliano ya mtu fulani kwa sababu fulani. Je kuna technology nyingine? Kuna mtu nimemsikia analalamika sana kuwa kuna...
Wadau wa JF
naomba msaada wa kama kuna mtu anajua namna ya kuchakachua internet niwe natumia bure, niliwahi kufanyiwa hivyo na jamaa mmoja lakini baada ya kuformat pc yangu nayo ikapoteza...
Naomba msaada kwa yeyote anaye jua nawezaje kupata apps za hiyo samsung, apps kama Skype, adobe reader, office na zinginezo. Browser nimefanikiwa kuinstall UC Browserna inafanya kazi vizuri.
SMS@20: 10 ways text messages have changed your life in the last 20 yearsTech, Posted on Dec 04, 2012 at 09:06am IST
IBNLive.com
Sponsored link: Flats @ 15 Lacs. IndiaProperty.com...
Vema, kuna wandugu katika uzi huu hao chini wamelalamikia tatizo la mitandao kukutaarifu baada ya kuwa imekula vocha zako zote.
Huu ni wizi na nimeshaongea na hawa wandugu lakini inaonekana hata...
Kwa wale watakaonunua samsung s III and Note II kutoka nje ya nchi ambazo huwa zinatumia simcard za huko tu. Hii njia itafungua sim yako iweze tumia simcard ya mitandao yote ya hapa nchini.
Njia...
Wanajamii F, nina tatizo kwenye laptop yangu nikisearch video yeyote au ujumbe nitakao, my youtube haifunguki kabisa, naomba msaada, tatizo laweza kuwa nini?
Some might say what? Not K&R? Not Linus?
Yeah, today is Miguel. All those you know are great, but let see this man who created so much we use today.
WHO IS HE?
Miguel de Icaza (born c...