Apps za Samsung Galaxy SII GT-I9100

achengula

JF-Expert Member
Jul 30, 2009
369
225
Naomba msaada kwa yeyote anaye jua nawezaje kupata apps za hiyo samsung, apps kama Skype, adobe reader, office na zinginezo. Browser nimefanikiwa kuinstall UC Browserna inafanya kazi vizuri.
 
hippocratessocrates

JF-Expert Member
Jul 1, 2012
3,601
2,000
Naomba msaada kwa yeyote anaye jua nawezaje kupata apps za hiyo samsung, apps kama Skype, adobe reader, office na zinginezo. Browser nimefanikiwa kuinstall UC Browserna inafanya kazi vizuri.

Nenda katika Play store, kisha chagua category unayoitaka utapata.
 
achengula

JF-Expert Member
Jul 30, 2009
369
225
Asante Hippo, nimejaribu several times sijafanikiwa, niliambiwa nilog in nikafanya hivyo lakini bado sijafanikiwa. Nikijaribu kudownload kwa kutumia computa naambiwa
, [h=2]"You haven't accessed the Google Play Store app on your device with this email account." wakati kule nimeshatumia email hiyo hiyo bila mafanikio. Ninachofikiri baada ya kusoma soma ni kuwa sababu huenda ikawa ni hii simu yangu ambayo haina google play store app pre-installed. Mwenye msaada zaidi anaweza kunisaidia.[/h]
 
Donnie Charlie

JF-Expert Member
Sep 16, 2009
12,263
2,000
Asante Hippo, nimejaribu several times sijafanikiwa, niliambiwa nilog in nikafanya hivyo lakini bado sijafanikiwa. Nikijaribu kudownload kwa kutumia computa naambiwa
, "You haven't accessed the Google Play Store app on your device with this email account." wakati kule nimeshatumia email hiyo hiyo bila mafanikio. Ninachofikiri baada ya kusoma soma ni kuwa sababu huenda ikawa ni hii simu yangu ambayo haina google play store app pre-installed. Mwenye msaada zaidi anaweza kunisaidia.

Unatakiwa uwe na account ya gmail
 
hippocratessocrates

JF-Expert Member
Jul 1, 2012
3,601
2,000
Account ninayo, ngoja niendelee kujaribu
Mkuu, unatakiwa uwe na account(e-mail account ya gmail)..iko in one of your apps katika simu, if hauna jaribu kufungua kwa kutumia means nyingine then log in, sometimes unaweza kuchangaya password mkuu, check hiyo pia.
 
achengula

JF-Expert Member
Jul 30, 2009
369
225
Sijawahi kutumia hii ndiyo ya kwanza, kwa hiyo unaweza nisaidia kama una maelezo zaidi kutokana na swali lako
 
achengula

JF-Expert Member
Jul 30, 2009
369
225
E-mail ya gmail ninayo na browser ninayotumia ni UC Browser ambayo nimeinstall iko faster, sijui kama simu yangu iko tofauti na simu nyingine, yangu imetengenezwa Korea, ina appstore badala ya android market. Kwenye appstore kuna categories kama games, wallpapper, social. Kwenye social ndo nimeona app za yahoo messenger, weather na google plus. Apps nyingine nzuri sizioni ndo maana nataka nipate sehemu nyingine. Mawazo yangu ni kuwa labda kwa sababu haina android market ndo maana google play inakataa. Labda kwa wazoefu wanaweza kunisaidia kama bado inawezekana bila ya kuwa na android market kwenye simu.
 
Islam005

JF-Expert Member
Nov 1, 2008
3,163
2,000
natumia Galaxy s2 na hizo apps zote ulizotaja ninazo na zaidi,nilichofanya ni kusign in kupitia account yangu ya gmail then kuendelea kudownload kama kawa.labda ungetuambia unapewa error gani wakati ukitaka kudownload. ukiona inasumbua zaidi badilisha sytem weka nyingine(upgrade that one)
 
Nikishasign in, nikitaka kuinstall program naambiwa "there is no device" wakati nadownload kupitia hiyo simu na browser ya UC Browser. Wewe Galaxy yako ni ya wapi, yangu imekuwa made in Korea huenda kuna utofauti fulani. Nipe maelekezo ya ku upgrade system nijaribu hiyo option.
 
Inkoskaz

JF-Expert Member
Nov 6, 2010
6,362
2,000
Achengula
kama hiyo simu ilikuwa inatumika na mtu mwingine it is probably account yake ndiyo ipo active..cha kufanya ni kuingia katika settings...accounts and syn...and add new account which is yours
Then sign in na uweze kupakua applications,coz droid without applications ni kama unaendesha vogue madirisha wazi
 
Inkoskaz

JF-Expert Member
Nov 6, 2010
6,362
2,000
Other old versions of droids hiyo apps store yake ilikuwa inaitwa MARKET..ukishaitumia once ndiyo inabadilika kuwa Google Play or Play Store..hivyo inabidi uanzie hapo na sio kwenye browser
 
achengula

JF-Expert Member
Jul 30, 2009
369
225
Other old versions of droids hiyo apps store yake ilikuwa inaitwa MARKET..ukishaitumia once ndiyo inabadilika kuwa Google Play or Play Store..hivyo inabidi uanzie hapo na sio kwenye browser

Thanks Inkoskaz kwa msaada wako, iko hivi simu ni mpya haijatumika na mtu, apps store yake haiitwi MARKET inaitwa APPSTORE ambapo ukiifungua Categories zake ni NEW inayoonyesha kila kitu kipya kinaopoongezeka on spot, nyingine ni games, music, Ebook, Beautys, wallpaper na social. Na kwenye kila category kuna vitu na kwenye socia ndo nimona program hizi google plus, yahoo messenger na King's weather. Na nyingi ukitaka kudownload unaambiwa It will charge you 423.73 TZS. Ilipo appstore pia kuna Java, facebook MSN na twitter na ndani ya Java ndiko apps zinakokuwa installed.
 
Sasa rudi katika setting u-add account..katika kudownload select free apps..kununua mpaka uwe na visa au mastercard yenye pesa
 
achengula

JF-Expert Member
Jul 30, 2009
369
225
Sasa rudi katika setting u-add account..katika kudownload select free apps..kununua mpaka uwe na visa au mastercard yenye pesa

Nimesearch nikaona version za samsung Galaxy SII GT-I9100 zipo tatu, GT-I9100 (kama yangu), GT-I9100P na GT-I9100G. Hii yangu nimejaribu kuunga na Kies kwenye PC pia Kies haiitambui maana ingekubali ningetumia huko kuinstall apps. Sasa nimejaribu kudownload apps za android toka 4shareddesktop.com lakini format ya mafile yake haisomeki kwenye simu, labda nahitaji kuyafungua kwa program fulani maana 7 zip imeshindwa. Nimeshindwa kuatach hapa N kwa msaada zaidi kama kuna mtu mwenye idea, kaini yako hapa Android Market 3.0.27.apk - 4shared.com - online file sharing and storage - download na adobe.reader_for_android_40862.apk - 4shared.com - online file sharing and storage - download ni format ya APK. Natanguliza shukrani.
 
Kibirizi

JF-Expert Member
Feb 19, 2011
602
250
Kwanza jaribu kuhakikisha kama simu yako ni halisi (guinuine from authority) . 1.Nenda sahemu ya msg andika neno "register" ikifuatiwa na serial no. ya simu yako au IMEI kwenda namba 15685 baada kama ya dakika 2 utapata ujumbe, kuhakiki utatuma neno "check" kisha andika IMEI NO. kwenda namba 15685 utapata majibu kama cmu yako inatambulika kwenye data base ya samsung. ukijibiwa Imei invalid ujue hiyo ni feki.
2. Wakati unataka kudownload application yoyote kutoka google play hakikisha email yako ya Gmail ipo on yaan signed in, vile vile log in bila mawasiliano yaani jaribu kusign in wakati unataka kudownload app mojawapo mfano ukifungua map ita search baadaye itakupa option ya ku "create account au sign in" sasa kama una account teyari ingilia hapo au kama huna create kuanzia hapo. Kwa kufanya hivyo nadhani haitakusumbua its is very simple it few minutes.
Lakini kama ni issue ya adobe na office kuna kitu kinaitwa poris office yenyewe inasoma na kwa simu kama ya kwako zinakuwa installed from factory. Ila unaweza kudownload nyingine.
N.B Internet ikiwa weak inasumbua sana ku access google play au market.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom