msaada namna ya kuchakachua internet ya mtandao wowote ule

msaada namna ya kuchakachua internet ya mtandao wowote ule

Jeff

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2009
Posts
1,293
Reaction score
202
Wadau wa JF
naomba msaada wa kama kuna mtu anajua namna ya kuchakachua internet niwe natumia bure, niliwahi kufanyiwa hivyo na jamaa mmoja lakini baada ya kuformat pc yangu nayo ikapoteza settings, sina maujanja hayo kwa sana mwenye kujua tafadhali anisaidie,
 
du wengine walipie,wengine wajisevie bure kwa kutumia internet ya mtu mwingine mbona wanajamvi tunatiana hasara hivi
 
hahahahahaha kaka bana zipo online zimejaa tele ningekupa ila siku hz maisha upande wa internet yamekuwa simple sana mfano tigo wanampaka internet ya siku niunlimited kwashling miatano tuu..saa nne voda ni miambili usiku kucha na airtel saa sita nibure so niww tuu na laini zako.

mimi nataka ya mchana kaka, usiku wote huo si nakuwa nimeshalala, usingizi ni afya ndugu
 
mimi nataka ya mchana kaka, usiku wote huo si nakuwa nimeshalala, usingizi ni afya ndugu

Lipia sasa si amekuambia tigo siku nzima tsh 500! Kwa nini utake vya wizi (maana hakuna huduma ya bure)!
Jifunze kuwa responsible.., Utaanza na kudokoa huduma ya internet..., then taratibu unakuwa fisadi!
Hicho ulichofanya na rafiki yako ni wizi!
Kila la kheri
 
mimi nataka ya mchana kaka, usiku wote huo si nakuwa nimeshalala, usingizi ni afya ndugu

Yaani mkuu unataka ya bure, tena mchana muda wa kazi. Mbona pagumu hapo.
we hamia airtel upate ya bure usiku, hiyo ndo gharama yake, ktumia usiku.
Wajanja night voda ni SHILINGI 200 tu, hauwezi kukosa maana kuna scratch card vocha ya sh 300, hapo utabaki na sh 100 chenji.

Yaani siku hizi Internet sio big deal kama zamani, gharamia tu mzee, inalipa.
 
hahahahahaha kaka bana zipo online zimejaa tele ningekupa ila siku hz maisha upande wa internet yamekuwa simple sana mfano tigo wanampaka internet ya siku niunlimited kwashling miatano tuu..saa nne voda ni miambili usiku kucha na airtel saa sita nibure so niww tuu na laini zako.

Hivi mkuu bado ile ya Airtel ya usiku bado ipo mi nimezubaa tu na Airtel siku hizi nao naona wana kaspidi ngoja leo naanza kuUpdate windows ya pc yangu
 
jamani mimi nina linksys router, nikiweka naona internet za wanaonizunguka, nashindwa jinsi gani niingie , wameziprotect hadi wakupe password yao...naomba maujanja niingie
 
Internet Siku hizi Bureeeeee hadi 250/=
huwezi linganisha na calls hata kidogo
kama hufanyi downloads basi huna haja hata ya kuhangaika na mambo hayo
 
Wadau wa JF
naomba msaada wa kama kuna mtu anajua namna ya kuchakachua internet niwe natumia bure, niliwahi kufanyiwa hivyo na jamaa mmoja lakini baada ya kuformat pc yangu nayo ikapoteza settings, sina maujanja hayo kwa sana mwenye kujua tafadhali anisaidie,

kwani huyo jamaa aliekusaidia kashafariki.? mtafute tu akusaidie tena.. Hamnaga VYa BuRe...
 
internet ya usiku haina jipya, tena hasara yenyew ni kwamba wanakupa 200MB tu, sasa hzo utafanyia nin?
kama downloads utakwama dakika si nyingi, en kama ni olnly ku peruzi mtandao afadhali ulipie 500 per day ya tigo
 
Wadau mbona internet ya airtel ni sawa na bureeeeee.... Mie hutumia sh. 2500 kwa mwezi. Napewa 400mb... ila ni kwa simu tu!!!!
 
Mwenzenu anataka vya bure sasa sijui hata hyo computer yake aliipata bure!
 
Back
Top Bottom