Na mimi nimejaribu kutengeneza forums jamani!!! Hebu ipitieni

Deejay nasmile

JF-Expert Member
Nov 8, 2011
4,998
2,000
NA MIMI NIMEJARIBU KUTENGENEZA HII FORUMS JAMANI!!! HEBU IPITIENI THENI MNIPE USHAURI,NA MNIKOSOE KWENYE MAKOSA NA VITU KAMA HIVYO!!!!!! HII IPO KIBURUDANI NA URAFIKI ZAIDI

Chatz Forum

PIA NATAFUTA MODS WA KUSAIDIANA NAO
 

Mzee wa fund

JF-Expert Member
Oct 24, 2010
514
0
Badirisha kwanza hiyo background colour.then nitatoa maoni yangu.lakini nadhani iko poa.ngoja waje watabe wa IT &ICT watuambie.
 

nurbert

JF-Expert Member
Feb 26, 2012
1,889
1,500
i po mzukaaaa... But no mobile site ...... Sio mda wote tunakua na pc...
 

Bilionea Asigwa

JF-Expert Member
Sep 21, 2011
16,375
2,000
ni nzuri ilabackground imekaa iweusi weusi sana hasa kwa watu wenye color blindness inatia shida kidogo...ila iko makini sana...
 

Chief-Mkwawa

Platinum Member
May 25, 2011
26,280
2,000
1. Chatz forum sjapenda hilo jina ni sawa unasema lori fuso au costa basi yani umeeka pamoja vitu viwili.

2. Mependa idea ya kutojifananisha na jamiiforum its better unapocompete na site kubwa kama jf ukafanya product differentiation japo kuna vyengine vinafanana na jf

3. Kama alivosema nurbert unatakiwa ueke mobile view.

4. Overall design sio nzuri pamoja na themes rangi nyeusi na nyekundu zimekaa kilocal sana
 

Joseph

JF-Expert Member
Aug 3, 2007
3,520
1,225
Mkuu rangi kwanza haijakaa vizuri na inaumiza macho,ila mengine yanawezekana taratibu,hongera maana umejaribu na utaweza.
 

Endangered

JF-Expert Member
Sep 22, 2011
923
195
first noted ni kuhusu rangi mkuu, haijakaa sawa. the layout/design pia haijanishika kivile.
Overall idea ni nzuri, maana sijaona imefanana na nini ama nani.

the socks ought to be pulled, utafika tu.
 

Naibili

JF-Expert Member
Jan 24, 2011
1,679
1,500
hayo wadau waliyoyasema ni ya msingi yafanyie kazi, alafu kuna mtandao uliwahi kushika kasi miaka ya 2004, 2005 marafiki.com, niliipenda saana idea ile, sijui walikuja kufia wapi, cha msingi epuka kucopy mitandao mingine kama jf nakadhalika, jaribu kufikiri jinsi ya kujiweka tofauti kabisa, ukifanikiwa katika hilo utafika mbali, tofauti na hivyo utapotea kusikojulikana
 

g.n.n

JF-Expert Member
Oct 8, 2010
408
195
Big up boy, umejitahidi sana, ila fanya kama hao wana walivyokuambia.
 

Donn

JF-Expert Member
Jun 5, 2012
2,435
2,000
NA MIMI NIMEJARIBU KUTENGENEZA HII FORUMS JAMANI!!! HEBU IPITIENI THENI MNIPE USHAURI,NA MNIKOSOE KWENYE MAKOSA NA VITU KAMA HIVYO!!!!!! HII IPO KIBURUDANI NA URAFIKI ZAIDI

Chatz Forum

PIA NATAFUTA MODS WA KUSAIDIANA NAO

Nas, unatarget nzuri, lakini jeshi la mtu mmoja si jeshi. Nakumbuka harakati zako za fb battle tangu mwaka jana. Ni PM tufanye kazi serious
 

Kimbori

JF-Expert Member
Feb 21, 2012
4,495
2,000
Honera! Jitahidi kubadili jina, jina lisiwe la kihuni, weka rangi mirua (mimi sio mtaalamu sana wa rangi, pia weka sub-forum itakayoruhusu wanafunzi (hususani wa sekondari kuweka na kufanya maswali ya darasani). Kila lakheri!
 

Deejay nasmile

JF-Expert Member
Nov 8, 2011
4,998
2,000
nawashukuruni sana wakuu!!nayafanyia kazi maoni na ushauri wenu!! then nitarudi tena kuwajuza

kuhusu
TARGET YANGU
1.KUNUNUA DOMAIN YANGU kwa sababu hapo ni subdomain ya lefora

LAKINI PIA KUTOKANA NA IDEA YANGU HAPO JUU MNANISHAURI NITUMIE JINA GANI!!!!??
ASANTENI SANA
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom