Msaada; Jinsi ya ku uninstall some apps kutoka Playstore

Kabusinja

Member
Dec 3, 2012
6
0
Wakuu kuna baadhi ya apps nilizoshusha kutoka google Playstore, na kuna baadhi nahitaji kuzi uninstall kwa kutumia njia ya kawaida ya application manager lakini zinagoma kabisa. Msaada tafadhali wakuu. Natumia Sony Ericson experie arc.
 
Back
Top Bottom