Columbus JF-Expert Member Joined Nov 5, 2010 Posts 2,002 Reaction score 652 Dec 1, 2012 #1 Niko subscribed kwa DStv, iko uwezekano wa kupata channel ya Emmanuel ya TB Joshua? ni katika channel gani?naomba msaada.
Niko subscribed kwa DStv, iko uwezekano wa kupata channel ya Emmanuel ya TB Joshua? ni katika channel gani?naomba msaada.
T The Great Architec Member Joined Aug 19, 2012 Posts 86 Reaction score 18 Dec 3, 2012 #2 Haipo mpaka madish makubwa
N nictbb Senior Member Joined May 18, 2012 Posts 119 Reaction score 9 Dec 4, 2012 #3 waeza pata tb joshua hata kwa dish size hiyo unayotumia kwa dstv,tafuta fund atakuwekea bila taabu,siyo lazima dish kubwa
waeza pata tb joshua hata kwa dish size hiyo unayotumia kwa dstv,tafuta fund atakuwekea bila taabu,siyo lazima dish kubwa