msaada juu ya ubuntu tafadhili

kaburu mdogo

JF-Expert Member
Dec 19, 2011
567
398
kiukweli nimempa mtu anisaidie kuiweka ubuntu kwenye pc
yangu akanambia anasikia kuwa ukitaka kuweka
programme kwenye ubuntu zinakataa au nyingine mpama
uwe online ndo ziweze kuwekwa huko,waungwana
naomba mnishauri au kunielewesha njia mbadala ya
kuweka hizo programme kwenye ubuntu.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom