jamani wadau naomba mnisaidie kujua bei za tablets zimesimamaje madukani na aina zake.....na wapi zinauzwa bei nafuu kidogo. ahsanten.