Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

habari wana JF ..HIVI NI SPEED GANI NZURI KWA KU DOWNLOADING MOVIE KWENYE U TORRENT WAKUU...BTWN SEC-5MINITS.
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Please, can you help me to get the replacement of the diplay of the Multimeter above.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
wakuu kwa wanaojua bei ya nokia lumia 800 kwa sasa dar es salaam wanijuze...nimeipenda sana hii simu
0 Reactions
9 Replies
2K Views
wakuu habari zenu.. Naombeni msaada kwa wanaojua haya mambo maana sitaki kupiga window chini... Nikiwasha machine inaload fresh hadi pale kwenye welcome then black screen inatokea na cursor...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Habr wana jf? Nina mdogo wangu amemaliza kidato cha nne mwaka 2011.ameniomba ushaur asomee koz gan za it? Website ya hiko chuo n hii hapa unaweza ukatembelea kuangalia hzo koz zinazotolewa...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
BlackBerry Fighting for Smartphone Relevance in US1 / 2 BlackBerry CEO Thorsten Heins unveils the BlackBerry Z10 and the BlackBerry Q10 at a January launch event WASHINGTON, February 13...
0 Reactions
1 Replies
839 Views
Ndugu wana JF, nina blogu yangu ya mifugo hapa SEKTA YA MIFUGO TANZANIA nilikuwa nataka kuiboresha kwa kuweka picha mwanzoni mwa home page. Nataka niweke picha za mifugo hapo mwanzo lakini zijae...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
wanajamvi, natafuta ngo ambayo inahitaji website niweze kuitengenezea for free. kama kuna mtu anaijua ani pm
0 Reactions
11 Replies
1K Views
We know that it is important to backup all our data in the computer, but do you know that it is important to backup your Windows registry as well? The registry is the database that contains all...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Program ya DW ya simu ya Android, Download hapa, https://play.google.com/store/apps/details?id=appinventor.ai_alasmy9.DW
0 Reactions
2 Replies
3K Views
kwenye pita pita zangu nimekutana na hii, and I'm not convinced.
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Ni kweli au ina maana gani Kusema EDGE meets the requirements for a 3G network but is usually classified as 2.75G.?
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari za kutwa, naomba mnisaidi kwa haya. Nimefungua blog inayohusu fashion http://www.streetswaggerific.blogspot.com/?m=1. tatizo ni kwamba unapo ifungua yaani ikiwa kwenye HOME inaonesha post...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
asante kwa kusoma,nina tablet ya toshiba t100 ina suport wifi tu ila ina port ya kuweka usb,nkiweka modem inasoma rang ya 3g ila haikonect ninachoomba ni kama kuna anaejua jinri ya kuifanya iweze...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Jesus is Lord 12682 H 26657 1/2 Intelsat 20 (IS-20) @ 68.5° East found CW: EF FF FF ED 00 00 00 00Jesus is Lord 12682 H 26657 1/2 Intelsat 20 (IS-20) @ 68.5° East found CW: EF FF FF ED 00 00 00 00...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Embu tizama hapo chini au check na hapo iphone 5 With Transparent Display - YouTube
2 Reactions
39 Replies
4K Views
umepita muda sana hakuna taarifa juu ya vituo vya Mlimani Tv, C2C, CTN, Tv Tumaini nk.. mwenye kujua upatkanaj wake atupe myeti
0 Reactions
9 Replies
4K Views
MWENYE PC DVD YA FIFA 13 ANIFORWADIE CD KEY (ONLINE PASS) NIPATE UWEZO WA KUCHEZA ONLINE AU DOWNLOAD LINK YA FIFA 13 YENYE UWEZO WA KUINGIA ONLINE pleaseeeeee!!
0 Reactions
0 Replies
841 Views
Wakuu simu yangu Nokia 2730, imekuwa slow ghafla, pia haipokei wala kutuma sms, inajibu message memory not ready kwa zaidi ya siku 3 sasa, nimejarib kuiformat (hard reset) but kwenye memory...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wataalamu nimepata tatizo la flash nikitaka kuiformat au kukocpy kitu inaadnika write protected Aina ya flash ni IMATION 4GD nifanyaje kutatua tatizo hili. THANKS
0 Reactions
0 Replies
983 Views
Back
Top Bottom