Columbus
JF-Expert Member
- Nov 5, 2010
- 2,002
- 652
Nimenunua LG-290 wiki jana na hivi sasa haiwaki, betri iko ok na wakati fulani inaweza kuwaka bila kuonyesha kitu kwenye display au inawaka ikonyesha alarm niliyowahi kuset. Kuna mzoefu wa maswala haya anasema itabidi iwekwe software yake upya, je kuna anyejua wapi wana load software ?