Mambo vipi wadau!
Naomba mchango wenu kimawazo kuhusu simu yenye camera nzuri kwa ajili ya matumizi ya kupigia picha na video za kupost kwenye page yangu ya biashara ya instagram, tiktok na...
Hivi karibuni Halotel waliansa kuuza rouer zao za 5g.
Naamini humu ndani naamini kuna mtu au watu watakuwa washaitumia.
Tunaomba mtupe mrejesho kuhusu ufanisi wake
Ahsante
Naomben msaada hapa wakuu, ninatamani kununua router ambayo portable inaweza kaa hata mfukoni kwa matumizi ambayo ni makubwa kiasi, ni mtandao upi kati ya tigo, halotel, airtel na voda wana mifi...
Nimempima na kumpa code ndogo tu kama hii
function separateLettersAndNumbers(str) {
return str.replace(/(\D+)(\d)/g, "$1-$2").replace(/(\d)(?=\D)/g, "$1-");
}
nikamuuliza output yake itakuwaje kwa...
Kwa sasa kwenye ulimwengu wa AI gumzo duniani ni Seedance 2.0
Hapa Wachina wa ByteDance ambao ndio wamiliki wa TikTok wamekuja kuweka rekodi ya dunia.
Ukibahatika kuziona video za AI...
Wakuu,
Nimekuwa nikipata changamoto ya kutambua code ya namba ya simu iliyokupigia au uliyopewa na mtu kwa kuangalia maana zinafanana na kila siku zinakuja mpya.
Sasa hii inakua Changamoto kama...
UI ya simu (User Interface) ni muonekano na njia mtu anavyokuwa connected na simu, ikijumuisha unachokiona kwenye screen yako, menus, icons, na animations. Mfano ni One UI ya Samsung, HyperOS ya...
Wakuu salamu.
Naombeni msaada namna rahisi ya ku-verify number kwenye YouTube channel kwa sasa, na ni namba ya mtandao gani inakubali kwa haraka?
Asanteni.
Hawa jamaa sijui uwa wanafikiria nini katika muundo wa simu zao .
Simu ina camera moja nyuma ila designer anaweka marings matatu ili waonekane kama iPhone macho matatu, na wateja wasiojua...
As of March 25, 2026, Claude AI is experiencing degraded performance across its services, including
claude.ai, the API, and console, following recent reports of elevated errors and potential...
Nimeamua kuandika makala hii bbaada ya kuona watu wengi Wanaibiwa , Kupigwa bei kali na kuuziwa simu feki au Bandia. Mpaka wengine wanaogopa kabisa kununua simu used kutoka nje…
1. Hakikisha Iko...
SIM Swapping Wizi wa Namba ya Simu Bila Kuibiwa Simu Na Jinsi ya Kujilinda
Katika dunia ya sasa ya kidigitali, namba yako ya simu imekuwa “kitambulisho” chako mtandaoni. Inatumika kuthibitisha...
Kwa wale wote wenye kukutana na kesi za ku edit PDF.. Kuweka Sawa PDF au Document za zamani zionekane vizur na kubadirisha baadhi ya picha na style basi hapa ndo Penyewe, Editing Zote Muulize PDF...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.