Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Naomba msaada please Bwana Mdogo anahitaji kubuild workstation but budget ya kuanzia anasema ana tsh 500,000. But kila after two weeks atakuwa anapata tsh 500,000. Je aanze na nini kwa hii tsh...
1 Reactions
6 Replies
222 Views
Wakuu . Kama kichwa kinavyojieleza Nahitaji kuchukua wi-fi lengo kubwa ni kuona namna Gani naweza kusave Hela ambayo ningeitumia kununua vocha za Kila siku Na nimepata hiyo hapo Pocket rout ya...
7 Reactions
33 Replies
927 Views
Tupitie pamoja flagship soundbars. 1. Nakamichi Dragon 11.4.6 : Description:Hii soundbar ina channels 21 katika configuration ya 11.4.6. Pia ni soundbar ya kwanza kusapoti DTS:X Pro ambayo ni...
8 Reactions
45 Replies
4K Views
Je kuna offline audio player nzuri kushinda hizo hapo juu zenye user face nzuri na quality nzuri ya muziki kushinda poweramp player...kama zipi basi unaweza kuzitaja hapo chini....Kwangu Poweramp...
4 Reactions
13 Replies
619 Views
Sticker nyekundu hizo husaida kufunika lens ili isifanikiwe kuchukua picha endapo pale atakapopiga picha kimakosa hasa nakala nyeti na za usiri ukubwa. Endapo hata simu yake itakapokuwa hacked na...
6 Reactions
18 Replies
512 Views
  • Question Question
Msaada namna ya ku- unlock banned Facebook account Wakuu salamu. Kama heading inavyojieleza hapo juu, account yangu ya Facebook imefungiwa kutokana na kuhisiwa kuwa mimi ni hacker kitu ambacho...
3 Reactions
8 Replies
2K Views
Kuna watu wengi sana wanapenda kufanya biashara, kuandika mitandaoni, kufundisha, au kutangaza huduma zao… lakini wanakwama sehemu moja: “Sijui design.” Zamani ilibidi ujifunze Photoshop kwa...
2 Reactions
1 Replies
468 Views
Je, ulijua kwamba ukiwa na akaunti moja ya Gmail, kwa kweli una uwezo wa kuwa na anuani za barua pepe zisizo na kikomo? Mbinu hii inaweza kuwa na matumizi mengi muhimu sana. Unaweza kufanya hivyo...
3 Reactions
2 Replies
454 Views
NATAFUTA TEAM (PART-TIME) – YOUTUBE CHANNEL Natafuta vijana wenye ujuzi wa: 🎨 Graphic Design 🎞️ Video Editing ✍️ Script Writing 🎙️ Narration Kwa ajili ya YouTube Channel Interested? Tuma: Jina...
3 Reactions
3 Replies
244 Views
Wakuu, natumaini hamjambo. Kama kichwa cha habari kinavyoonekana, nina hiyo router ya CPE 5s; ila tatizo inatumia tu laini moja. Je, kuna mtu anaweza unlock ili iweze kusoma laini tofauti?
1 Reactions
0 Replies
155 Views
Mambo mengi yanafanyika kwa haraka kuliko zamani. Watu wanajifunza, wanafanya biashara mtandaoni, wanatafuta kazi mtandaoni na kuwasiliana kupitia mtandao kila siku. Moja ya uvumbuzi mkubwa...
6 Reactions
4 Replies
504 Views
  • Redirect
Ni hivi wakuu ninataka kununua kakifaa fulani kakuscania magari. Japo hakasomi kwenye gari za Asia chini ya mwaka 2008. Hivyo ninahitaji kujua gari nyingi hapa Bongo ni za miaka gani.
2 Reactions
Replies
Views
Hello programmers, Tujuane kwa: • Skills zetu • Tech stack • Years of experience • Fursa zilizopo hasa hapa bongo. 🫴🫴Uwanja ni wetu.
2 Reactions
11 Replies
249 Views
Wadau Halotel wali lunch 5G katika mikoa yote 26 lakini imejaribu ku swich on Line yao tuu siipati hiyo 5G kama walivyotangaza. Nakusudia kuwaburuza Mahakamani. Tigo Vodacom ndo naona zinapandisha...
1 Reactions
20 Replies
573 Views
Nimekuwa nikikutana na changamoto ya kupata internet. Account iko paid, connection zote zipo sawa. Nikipiga simu naambiwa ni tatizo la kiufundi. Naomba kujua kama na nyie mnakutana na...
4 Reactions
11 Replies
423 Views
Naomba kujua namna naweza kutrack taasisi yoyote ya mikopo iliyo linked na namba ya nida!
1 Reactions
0 Replies
159 Views
Habari wakuu Kiukweli nahitaji kuongeza uelewa kuhusu mambo mifumo ya sim na mambo ya computer like androids, OS, Linux, bypassing and other like that. Hivo nilipendelea sasa kisaidiwa kupata...
1 Reactions
8 Replies
356 Views
FUMO WA ESS KWA SIMU
1 Reactions
3 Replies
199 Views
Mwaka 2025, Android ilisafirisha simu 1,000,000,000 huku iPhone ikisafirisha 240,000,000, hivyo kwa idadi ya vifaa Android iko ligi tofauti kabisa. Hata hivyo, bei ya wastani ya iPhone ni dola...
3 Reactions
14 Replies
467 Views
Mara baada ya Mwananchi kupitia JamiiForums.com kulalamikia huduma ya Kazi za N-CARD katika kuweka fedha, inayowalazimu kupanga foleni wakati wa kuitumia katika Kivuko Kigamboni, ufaafanuzi...
2 Reactions
2 Replies
280 Views
Back
Top Bottom