Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Nahitaji mtu wa kinifanyia Config ya DOCKER, PORTAINER, CONTAINERS kama vile Pi hole, Nextcloud, Tailscale-vpn, Paperless ngx, Media automation kama vile SONAAR kwenye NAS SERVER. 0715 240140
0 Reactions
5 Replies
271 Views
French media group Canal+ will on Wednesday publish its full-year 2025 financial results – the first annual numbers to include subsidiary MultiChoice Group since the London-listed company...
0 Reactions
5 Replies
495 Views
Wakuu mara kadhaa nimejaribu kuverify namba yangu ya voda ili nitumie kwa ajiri ya iMessage lakini imenigomea, ni simu ya pili sasa kila nikiangalia status inaniambia verifying! Kama kuna namna...
2 Reactions
16 Replies
455 Views
Wakuu za habarini za sahizi, naishi mkoani mbeya, nilikuwa na naomba msaada niweze kupata sehemu wanapofanyia fabrication ya vifaa mbali mbali vinavyohitaji plastic molding na kuhusisha mfumo...
2 Reactions
4 Replies
597 Views
Leo hii watu wengi hutumia muda mwingi kwenye Internet iwe kwa smartphone, TV, games, Laptop, n.k. hasa kwa ajili ya burudani kama kuangalia videos za muziki, highlights za mpira, kucheza games...
3 Reactions
7 Replies
222 Views
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza naomba msaada kwenye hilo Mwenye uzoefu na friji za Tmall naomba anambie kuhusu ubora wake au ni friji ipi nzuri kwa bajeti isiyozidi laki tano
1 Reactions
4 Replies
252 Views
Itakua shida nini wazee maana hata sielewi
2 Reactions
7 Replies
181 Views
https://www.instagram.com/p/DVagzFWlftV/?img_index=1&igsh=ZTNrdzluemlhd2dx
1 Reactions
22 Replies
540 Views
Speed - niweze kuseti speed ya juu kwa kila mtumiaji, mfano asivuke speed ya kudonload MB 1 kwa dakika MB - iwe kama tunavyonunua mabando ya MB kwenye mitandao ya simu, ukimaliza MB connection...
2 Reactions
13 Replies
1K Views
Ukienda Polisi kutoa Taarifa hukuti Afisa wa Polisi kwenye meza ya mapokezi, hukuti makaratasi bali unakuta vifaa vya kidigitali pekee. Ni vituo janja vya polisi ambapo mtu anaweza kutoa taarifa...
1 Reactions
1 Replies
193 Views
Ndio wadau kampuni ya ICT works inaendeshwa vipi na upatikanaji WA tende ni vitu gani muhimu hasa KWENYE kuoperatr. Kwa Sasa tunafanya heavy printing but tunataka kujua upande huo pia
0 Reactions
4 Replies
142 Views
Assalam Alleykum ndugu zangu natumai mko poa poleni kwa mfungo ,tuendelee kumwomba Mungu katika kipindi hiki Nashindwa kutumia internet pindi nikipigiwa simu ,msaada jinsi ya kufix hii shida wakuu
2 Reactions
21 Replies
530 Views
Hapa najazaje wakuu ili nipate internet ya hotsport kwenye smart TV yangu?
4 Reactions
11 Replies
260 Views
Wakuu, Nini malengo ya website mbalimbali kuuliza swali hilo? na wakati mwingine kukupa task mbalimbali kama kuchagua magari, traffic lights nk. ✅Ina maana wanaogopa marobot yataharibu au vipi...
9 Reactions
56 Replies
1K Views
Wakuu mwenye experience na hiki kitu please anisaidie niunganishe hii saa na Simu kwani itakua rahisi hata kuset mda pale nitakapokua nasafiri kwenda nje au kurudi Tanzania.
0 Reactions
28 Replies
471 Views
EXCEL SIO YA ACCOUNTANTS TU – NI SILAHA YA KUJENGA UHURU WA KIFEDHA KWA KILA MTANZANIA Watanzania wengi wanadhani Microsoft Excel ni ngumu au ya watu waliosomea uhasibu. Lakini ukweli ni kwamba...
6 Reactions
12 Replies
990 Views
Kwa wote wanaomiliki wi-fi router au wanaotegemea kuwa nayo badae, ni muhimu sana kufahamu kua ukiset password ili mtu asiye na password asiweze kutumia wi-fi yako ujue umejipotezea tu mda mana...
20 Reactions
58 Replies
5K Views
"Kalinka & Tobol" ni mifumo ya kivita ya kielektroniki (EW) ya Urusi ambayo hivi karibuni imepata umaarufu kwa madhumuni yake ya kugundua na kuvuruga mawasiliano ya satelaiti, hasa yale ya...
5 Reactions
21 Replies
736 Views
Ni February nyingine, Samsung wanatuletea S Series. Wamekuja na S26, S26+ na S26 Ultra. Kusema kweli mabadiriko ya kimuonekano ni madogo sana ukifananisha na S25 kwahiyo vichache vya kuandika.
12 Reactions
29 Replies
859 Views
Back
Top Bottom