Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Habari wadau wa JamiiForums, Leo nimekuja na kichwa moto kuhusu hili swala la VPN ambalo limekuwa likiwaka kama moto wa gari la maji mitandaoni! Tangu 2023, serikali kupitia TCRA ikawavunja moyo...
5 Reactions
67 Replies
4K Views
Wadau salam. Nahitaji kununua line ya kuuzia bando (HALOTEL) Nauliza je process zipi nifuate ili nikibadli umiliki (NIDA) line usipoteze sifa ya kuuza bando?
1 Reactions
1 Replies
118 Views
Habari Developers, Kama una software/app/project na unahitaji watu wa ku-test na kukupa feedback, iweke hapa 👇 Include: Jina la app/project Link ya ku-download au ku-access Platform (Web...
3 Reactions
15 Replies
286 Views
Kuna Game la Drafti linaitwa Backrow Rush ni zuri sana. Linapatikana Play store kwa jina Backrow Rush Naomba msaada wa kulijaribu na mnipatie maoni yenu kipi cha kuboresha na kuongeza. Kwa sasa...
10 Reactions
30 Replies
644 Views
Mwenye kujua Kipi na kipi ni muhimu na kazi yake tafadhali.. Nimeona nachezea fursa, nimetengenzeza simu 4 locally ambazo zote nilishaambiwa nibadili vioo nyingne imekufa body. Leo nimefungua...
1 Reactions
7 Replies
6K Views
Nina shida kubwa sana na mtandao wa Telegram Ila nashindwa kujiunga naambiwa Hadi nilipie je kuna ujuzi WA kujiunga bila kulipia?
6 Reactions
20 Replies
984 Views
Teknolojia inakwenda Kasi sana Sasa Ukiwa na TECNO Camon 50 unaweza share files mbalimbali na iphone kwa kugusanisha Tu simu. Zamani ilikua ni mchakato mrefu kuweza kushare files Toka simu za...
2 Reactions
2 Replies
169 Views
Kadri mabadiliko ya teknolojia yanavyozidi kushika kasi, ndivyo yanavyozidi kuleta athari chanya au hasi katika nyanja mbalimbali za maisha ya binadamu. Katika uwanja wa software development...
1 Reactions
20 Replies
405 Views
Aisee zimefika nyumbani kwangu, ila Kabla sijalipia nataka kupata kwanza feedback kutoka kwenu wadau, ziko vizur hizi router za TTCL??
4 Reactions
32 Replies
2K Views
Kama kichwa cha uzi hapo juu kinavyoelezea, tuchukulie mfano simu ya Samsung Galaxy S22 ultra ambayo mara ya mwisho imepokea system update mwaka jana huku ikitarajiwa kutokupokea tena security...
2 Reactions
18 Replies
368 Views
Bei ziko sawa na zote ni smart
1 Reactions
37 Replies
1K Views
Mimi ni software enginerr mkongwe, mwenye uzoefu zaidi ya miaka kumi, na nilikua sijaanza kuchangamkia coding via AI, nilikua napiga codes zangu mwenyewe nikitarajia siku nitapata fursa...
8 Reactions
33 Replies
828 Views
AI au akili mnemba ili iweze kufanya kazi inahitaji chip, na sio tu kila chip inaweza kufanya hivyo. Kuna chips maalumu na za hali ya juu kwa ajili ya AI. Na kampuni ya NVIDIA imekuwa supplier...
42 Reactions
273 Replies
15K Views
Anonymous (9b22)
Shida ni kwamba hizi Telecom Companies na pia other companies ambazo zinajihusisha na services za home internet hazisema ukweli interms of amount ya data unayopata, kwa mfano unaweza kulipa...
8 Reactions
32 Replies
836 Views
🔥Pata website Hosting ndani ya dakika 1 Tu (Netfasta.Com)🔥 Tunatoa huduma za web hosting na usajiri wa domains kwa gharama nafuu sana na sasa tuna ofa Kwa Tsh 45,000 tu unajipatia hosting kwa...
0 Reactions
0 Replies
117 Views
MOBILE PHONE REPAIRING TOOLS AND UNLOCKING MODEMS AVAILABLE : Miracle box Oss Client Pro All Android ADB FRP Remover Tool Z3x Premium Gsm Alladin Infinix Box Octopus Samsung DC Unlocker NCK Box...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Ni VPN gani ambayo ni inaweza kutumia kwenye Desktop computer? Ambayo ni Free!
2 Reactions
1 Replies
187 Views
Mwenye uhitaji wa hii hitu jamani, vyuma vimekaza. Bei laki tatu na nusu(350,000), inazungumzika. Ipo Dar Es Salaam/Tabata Heath
2 Reactions
2 Replies
147 Views
Wakuu Kuna yeyote humu yuko na side hustles pale Shutterstock? Kama upo naomba ushare experience Yako hapa tafadhali🙏
1 Reactions
1 Replies
101 Views
Wakuu nimeletewa tablet hapa wameniambia dogo alikua anachezea gemu Sasa baadaye wakafungua Kwa password Ile Ile ya 2022 lakini Ngoma inasema wrong password. Nimejaribu kufanya hardreset lakini...
2 Reactions
32 Replies
2K Views
Back
Top Bottom