The government is planning to set up a board that will be charged with overseeing cyber security professionals in a move to monitor and regulate cyber activities.
The board will work closely...
Wakuu tafadhali nisaidieni. Kwa hapa TZ ni wireless router ipi (zipi) bora? zinapatikana wapi? Na ni internet provider yupi anayetoa WIFI ya kueleweka?
Amani iwe nanyi.
Kama kuna mtaalamu wa mambo ya TV naomba ushauri wake tafadhali:
Nimenunua decoder ya TING, nimeunga kwenye TV yangu kinaonesha black&white tuu, hakuna rangi kabisa.
Nimejaribu...
Huawei ASCEND Y200....unlocked with customized ROM.....for only 190,000/-imetumika for two months iko na hali nzuri kabisa, kwa aliye tayari anitafute kwa 0712 780006
Wanajamii kuna msg hii nimeiona nilipokuwa nafungua laptop yangu imeandikwa kama hapa chini.Je nikidownload kunamadhara yoyote naweza kupata?
See Who's Spying On You...
Single na Double SIM, $72, 46 Hours standby, WiFi, up to 32GB SD Card, itaanza kuuzwa June.
The keys to getting social: Nokia Asha 210 – Nokia Conversations : the official Nokia blog
Kwa wale wadau wanaopenda kuangalia astronomical events, basi leo inatarajiwa kushuhudiwa kupatwa kwa mwezi kuanzia saa tano hadi saa saba usiku huu, stay tuned.
source: Apr 25, 2013 Penumbral...
Jamani, hebu jiulizeni. Hivi mmeshawahi kuibiwa laptop, iPad, hizo Samsung Galaxy smart phones, na hata Apple iMac desktops MARA NGAPI? Je, mlipoteza data kiasi gani? Wengi wetu hata kufanya...
Many people consider Linus Torvalds as the world's greatest computer programmer/hacker. That's why it's no surprise that most of his loyal fans have praised him and have told stories about his...
Jamani naombeni msaada nina hiyo dell inawaka kwa maana ya kuonyesha mwanga kwenye LED ya power lakini haionyeshi kitu. Nimejaribu kubadili ram na kuunga kwenye monitor ya nje lakini wapi.
Habari wadau
Kuna kitu kimeshanikuta kama mara mbili,kuna kipindi nilitaka niulizie hapa jf baadaya nikaamua kwenda kwenye ofisi za hao wahusika.Walichonieleza ni aibu.
Baadhi ya...