Msaada: Nahitaji kununua wire-less router -ipi ni bora na wapi nitaipata?

Natania

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2012
Posts
262
Reaction score
217
Wakuu tafadhali nisaidieni. Kwa hapa TZ ni wireless router ipi (zipi) bora? zinapatikana wapi? Na ni internet provider yupi anayetoa WIFI ya kueleweka?
 
mimi ninayo na niliinunua India mwaka 2009 ila sijawahi kuitumia! nikuuzie?
 
mkuu mbona zimejaa kibao madukani na sikuhizi zipo hadi za 3G ..unachomeka modem yako hapo hapo kwenye router na kupata internet direct from router...plug n play! sijajua kwa hapo dar ni duka gani haswa lakini embu jaribu power computers maana mi kwa sasa nipo iringa na zipo nyingi tu huku ila wanaziagizia from dar..range from 120,000/= mpaka 200,000/= kama sikosei..
 
Shukrani mkuu kwa kutoa mwanga! Nilichokuwa naogopa ni kununua router ambazo hazifai na ndo maana nikauliza ni aina gani (brand) ya router ambayo inarecord nzuri. Kama unajua jina la router moja ambayo ipo shwari usisite kunishtua.
 
Go for "HUAWEI LTE B593"

Though it's Xpensive but U won't regret.

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Shukrani mkuu kwa kutoa mwanga! Nilichokuwa naogopa ni kununua router ambazo hazifai na ndo maana nikauliza ni aina gani (brand) ya router ambayo inarecord nzuri. Kama unajua jina la router moja ambayo ipo shwari usisite kunishtua.

Nunua brand ya D-LINK
 
mkuu kuna moja wanauza voda pale mliman city ni 150000 pamoja na modem yake ni safi sana naitumia kwenye internet cafe ina supply internet kwa pc 5 maana ttcl hawaaminiki siku hizi
 
we acha tu hawa TTCL hawa majanga sana mimi nimepata hasara sana kutokana na huduma zao mbovu.
 
Wakuu tafadhali nisaidieni. Kwa hapa TZ ni wireless router ipi (zipi) bora? zinapatikana wapi? Na ni internet provider yupi anayetoa WIFI ya kueleweka?
ninayo wireless router D-LINK nauza sh 90,000/=
 
kama unalaptopkuna softwares special unawezazitumia laptopyakondoikawa km wireless router
Hayo ndo mambo, natumia laptop ndugu yangu, fanya mpango wa kuzitaja hizo software pamoja na kwamba nami naingia google sasa hivi
 
mkuu kuna moja wanauza voda pale mliman city ni 150000 pamoja na modem yake ni safi sana naitumia kwenye internet cafe ina supply internet kwa pc 5 maana ttcl hawaaminiki siku hizi
Asante kwa kunishtua mkuu!
 
Mimi nataka kujua ni model gani inaweza peleka mawimbi zaidi ya metre elfu moja?
 
Back
Top Bottom