It's time to tell thieves their days are OVER!

MwanaHaki

R I P
Joined
Oct 17, 2006
Posts
2,401
Reaction score
710
Jamani, hebu jiulizeni. Hivi mmeshawahi kuibiwa laptop, iPad, hizo Samsung Galaxy smart phones, na hata Apple iMac desktops MARA NGAPI? Je, mlipoteza data kiasi gani? Wengi wetu hata kufanya backup ya phonebooks zetu hatufanyi kabisa, kwa kuwa labda hatujui au kwa kuwa hatuna mazoea.

Lakini sasa iko teknolojia rahisi, ya kuchunga vitu vyetu vyenye thamani, na pindi vinapopotea, ama labda kwa kusahauliwa mahali fulani, kudondoka (kwa mfano simu kudondoka kwenye basi au kusahauliwa kwenye teksi, n.k.), tunaweza kutoa ripoti na mtandao (wa dunia nzima) ukaanza kuifuatilia, kama ni simu, laptop, iPad, n.k.

Amini usiamini, kuna watu waliibiwa laptop zao, baada ya wiki wakazipata. Wengine iPad, wengine simu. Kuna kisa cha mtu aliibiwa laptop yake, baada ya mwaka ikaonekana Misri, na kwa kuwa ilikuwa na webcam, ikaanza kupiga picha za mtumiaji, ambaye alikuwa hana habari kwamba anafuatiliwa.

Jamani, sasa BASI! Someni tangazo hili kisha muanze kazi ya kuchunga mali zenu.
 
Attachments

  • PPS Web Flyer.jpg
    PPS Web Flyer.jpg
    275.8 KB · Views: 221

Hapo kwenye red, waweza kujalibu kwa kutumia ESET SMART SECURITY v6 Wameitroduce hiyo feture. Baada ya installation ya ESET, Fanya registration kwenye site yao kisha fuata maelekezo outakayo yakuta. Waweza kupata picha za mtumiaji wa computer yako iwapo tu ata_connect internet, na iwapo hatoindoa hiyo ESET smart security.
 
uki'format na kuweka windows nyingine inakuaje? bado wizi upo palepale
 
Kama umeweka Administrator Password ya BIOS, na ukazuia booting from external devices, hata kama wakiweza kuicrack hiyo password yako, bado watashindwa kutoa password ya hiyo security system ninayozungumzia. Kwa hiyo hawataweza kuformat hard disk yako.
 
Sina hakika kama unajua unachoongea, ku format hard drive si lazima iwe kwenye hiyo computer iliyoibiwa. Inaweza kutolea ikawa formated somewhere else na ikarudishwa ikiwa na operating system tayari

Sina hakika kama unajua unachoongea; You can not easily format a password protected HDD! Unavyoset HDD password kwenye BIOS ujue hiyo pasword inahifadhiwa kwenye HDD, ukiihamishia kwenye computer nyingine itadai password kama kawaida!
 
Jamani, hebu jiulizeni. Hivi mmeshawahi kuibiwa laptop, iPad, hizo Samsung Galaxy smart phones, na hata Apple iMac desktops MARA NGAPI? Je, mlipoteza data kiasi gani? Wengi wetu hata kufanya backup ya phonebooks zetu hatufanyi kabisa, kwa kuwa labda hatujui au kwa kuwa hatuna mazoea.

Lakini sasa iko teknolojia rahisi, ya kuchunga vitu vyetu vyenye thamani, na pindi vinapopotea, ama labda kwa kusahauliwa mahali fulani, kudondoka (kwa mfano simu kudondoka kwenye basi au kusahauliwa kwenye teksi, n.k.), tunaweza kutoa ripoti na mtandao (wa dunia nzima) ukaanza kuifuatilia, kama ni simu, laptop, iPad, n.k.

Amini usiamini, kuna watu waliibiwa laptop zao, baada ya wiki wakazipata. Wengine iPad, wengine simu. Kuna kisa cha mtu aliibiwa laptop yake, baada ya mwaka ikaonekana Misri, na kwa kuwa ilikuwa na webcam, ikaanza kupiga picha za mtumiaji, ambaye alikuwa hana habari kwamba anafuatiliwa.

Jamani, sasa BASI! Someni tangazo hili kisha muanze kazi ya kuchunga mali zenu.

Hiyo app mmeitengeneza nyie?
 
Hapana. Imetengenezwa na kampuni inayoitwa Fork Limited. Nadhani ni ya UK. Sisi tunafanya consultancy tu, kuwaelimisha watu na kuwafanyia installation na setup.
 
Sina hakika kama unajua unachoongea; You can not easily format a password protected HDD! Unavyoset HDD password kwenye BIOS ujue hiyo pasword inahifadhiwa kwenye HDD, ukiihamishia kwenye computer nyingine itadai password kama kawaida!

Hebu mweleze!
 
Back
Top Bottom