Simu inayochajiwa na soda ya coke au pepsi

Simu inayochajiwa na soda ya coke au pepsi

Verdy CB

Senior Member
Joined
Mar 19, 2013
Posts
149
Reaction score
67
Achana kabisa na maendeleo ya teknolojia

log on to www.daizizheng.com
 

Attachments

  • Simu-inayotumia-soda-aina-ya-cocacola-april-23-2013-5.jpg
    Simu-inayotumia-soda-aina-ya-cocacola-april-23-2013-5.jpg
    19.4 KB · Views: 260
  • Simu-inayotumia-soda-aina-ya-cocacola-april-23-2013-3.jpg
    Simu-inayotumia-soda-aina-ya-cocacola-april-23-2013-3.jpg
    18.7 KB · Views: 284
naona kama vile zero joules.. Soda yenyewe jero.. Kuchaji mia mbili..ukiiweka chaja pemben mtoto kanywa..

hahaaaa ila assume umeme umekatika na chaji imeisha kwenye simu... Pia co soda yote n a certain amount tu
 
Ya kuchajiwa kwa maji ndio itakuwa issue..hapo bado!😛layball:
 
Dah.....hapo sema kitu kimoja tu ili nijue kama itanifaa.. Je hiyo soda ikisha chaji simu inafaa kunywewa? Maana kuimwaga hasara
 
Kuna nyingine unachaji simu kwa kutumia ndizi na limao, nimejaribisha and it works
 
Kwa lugha nyingine Cocacola sio salama kwa kunywa.
 
Mait na maprogramer wanapaswa kufanya research jinsi gani ya kuchaji certain device kupitia internet/server au uwezo wa m2miaji m1 kumrushia vocha m2miaji mwingne!!
 
Mait na maprogramer wanapaswa kufanya research jinsi gani ya kuchaji certain device kupitia internet/server au uwezo wa m2miaji m1 kumrushia vocha m2miaji mwingne!!
We unaishi dunia hii kweli?
 
Back
Top Bottom