Nokia wazindua Asha 210 simu ya kwanza yenye WhatsApp button

Nokia wazindua Asha 210 simu ya kwanza yenye WhatsApp button

Kang

JF-Expert Member
Joined
Jun 24, 2008
Posts
5,701
Reaction score
2,613
Single na Double SIM, $72, 46 Hours standby, WiFi, up to 32GB SD Card, itaanza kuuzwa June.
plm97JF.jpg

The keys to getting social: Nokia Asha 210 – Nokia Conversations : the official Nokia blog
 
Bado najiuliza juu future ya Whatsapp chini ya Google endapo watafanikiwa kuinunua (kama habari za kuinunua ni za kweli kwani kuna exec mmoja wa Whatsapp amekanusha )
 
ugly looking phone, sijui nokia wanatafuta nini na make kama hiyo
 
Back
Top Bottom