Dr Faustine Ndugulile
R I P
- Jul 16, 2012
- 251
- 439
Nimepoteza power cable ya iPhone 5. Wapi mjini Dar naweza kununua cable mbadala? Natanguliza shukrani.
Nimepoteza power cable ya iPhone 5. Wapi mjini Dar naweza kununua cable mbadala? Natanguliza shukrani.
Dr. inafanana na ya iPad2? Kama zinafanana ninayo moja naweza kukupatia maana iPad yangu iliibiwa.
Sehemu reliable ni wakala wa Apple, Elite Computers!
Nenda azikiwe pale sapna... Swma bei yake ndefu sana mini nilinunua last week.
Kama kiasi gani?