Hii hackerthon sijaielewa

Hii hackerthon sijaielewa

mathsjery

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2015
Posts
2,287
Reaction score
1,855
Wengi wa wanaoshiriki ni wahindi nilijoin kwa kuwa tulitakiwa kuunda vikundi vya watu watano baada ya kuanza hatua za kwanza baadae tuliungwa kwenye group la what'sapp wote lakini huko walikuja na kusema watu lazima waanze wawili wakati kwenye tangazo watu walitakiwa kuanzia mmoja hadi watano nikaona sitaweza kuqualify kwa kigezo cha idadi ya watu maana kwenye team sikupata member hata nilipojaribu kushirikisha wa home hawakirespomd je hii ni kwa wahindi tu au vipi

 
We kwani umeiokota wapi hii? Inaweza ikawa site ambayo iko popular na wahindi.
 
We kwani umeiokota wapi hii? Inaweza ikawa site ambayo iko popular na wahindi.
Hii site nilijoin kipindi kirefu ila baadae ndo nilikuja kuanza kuifatilia inaitwa techgig.com sasa hackerthon zao huwezi kuta watu wa mataifa mengine maana nilijua haitakuwa hivo ila nilipoungwa kwenye group lao ndo kuche number zote ni wahindi tu. Ndo nauliza huenda ikawa na focus kwa wahindi tu nikwa najisumbua japo kuna kigezo cha idadi kilibadirishwa ghafla ikawa shida kwangu kupata partiner pia verifiaction yao haitumi code kwa number za tanzania
 
Back
Top Bottom