Msaada jinsi ya kulipia pesa alibaba

Msaada jinsi ya kulipia pesa alibaba

noel oga

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2015
Posts
277
Reaction score
230
Habarini.
Nahitaj msaada wa haraka kwa yeyote anayefahamu jinsi ya kulipia bidhaa alibaba hatua na taratibu na kujiridhisha kuwa pesa yang itakuwa salama pasipo utapeli.ahsanteni
 
Usikubali kulipa nje ya App, hilo ndo la kwanza wakati wajuvi wanakuja.
 
Habarini.
Nahitaj msaada wa haraka kwa yeyote anayefahamu jinsi ya kulipia bidhaa alibaba hatua na taratibu na kujiridhisha kuwa pesa yang itakuwa salama pasipo utapeli.ahsanteni
Akikisha store yao inayo verified profile
 
Usifanye malipo nje na system ya Alibaba eti mnalipiana WeChat au WhatsApp hapo utalizwa vizuri sana... Lipia ndani ya mfumo wa Alibaba. Kulipia unatumia kadi inayoweza kufanya manunuzi mtandaoni, na suggest tumia M-Pesa VisaCard.
 
Shukrani ndugu
 
Back
Top Bottom