Mac kukupa taarifa ikiwa kompyuta yako imeingia maji

Teknolojia ni Yetu sote

JF-Expert Member
Apr 28, 2020
445
754
View attachment 2806894


Kampuni ya apple kwenye vifaa vyao huwq hawatoi warranty kwenye bidhaa zao ikitokea imemwagiwa na maji au kimiminika chochote kwenye vifaa vyao vya iphone, ipad,Air pods, apple watch nk japo hivyo vifaa vina support mfumo wa kuzuia maji.

Apple huwa wanatumia njia mbalimbali kuweza kutoa taarifq ikitokea kompyuta imemwagikiwa na kimiminika chochote labda maji , juisi , chai nk. Kwenye toleo jipya la Mac wameweka mfumo wa kukupa taarifa kwenye mfumo wa USB type C ikiwa imeingiliwa na maji.

Kwenye macOs Sonoma 141, kuna mfumo mpya unaitwa "liguiddetectiond", inakusaidia kukupa taarifa ikiwa kompyuta yako imeingiliwa na maji bila wewe kujua. Pia iko kwenye simu za iphone na ipads ikitokea simu yako imeingiliwa na maji kuna ujumbe unatokea wa tahadhari.

Mac%20%E2%80%93%201.jpg


Inaitwa liquid Detection and corrision mitigation Demon, inakupa taarifa ikiwq maji yameingia kwenye kifaa chako kwani wanakuambia usichomeke simu chaji ondoa kwenye chaji ili kulinda kifaa chako.
 
I declare the world War lV
Android Vs IOS
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™†β€β™‚οΈπŸ™†β€β™‚οΈπŸ™†β€β™‚οΈπŸ™†β€β™‚οΈ
 
I declare the world War lV
Android Vs IOS
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™†β€β™‚οΈπŸ™†β€β™‚οΈπŸ™†β€β™‚οΈπŸ™†β€β™‚οΈ
Wote ni wamoja
 
yaani Mac ya milion 9,ndio inapewa ditection ya maji leo hii,wakati simu zao za milion 3 zilipewa huo uwezo miaka 5 iliyopita.
iphone x.

si ajabu water resistance ikawekwa 2029 humo.
 
yaani Mac ya milion 9,ndio inapewa ditection ya maji leo hii,wakati simu zao za milion 3 zilipewa huo uwezo miaka 5 iliyopita.
iphone x.

si ajabu water resistance ikawekwa 2029 humo.

Hiyo ni unfair comparison, simu na laptop wapi na wapi
 
Hiyo ni unfair comparison, simu na laptop wapi na wapi

hakika hazilingani,ndio maana tunashangaa iweje kifaa cha milion 9 kipewe tech kwa kuchelewa kuliko cha milion 2??

kama hakukuwa na umuhimu huko nyuma wakati wanaweka kwenye simu imekuwaje leo hii??
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom