TCRA kuwashindanisha vijana wa vyuoni katika shindano la udukuzi.


Cybergates

Cybergates

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2016
Messages
290
Points
500
Age
20
Cybergates

Cybergates

JF-Expert Member
Joined Dec 2, 2016
290 500
TCRA kupitia kitengo chao cha ulinzi wa kompyuta wa dharura, TZ-CERT imeleta shindano kwa wanavyuo wachukuao masomo ya teknolojia ambalo litawafanya wanafunzi kuweza kudukua taarifa na kujilinda na mashumbulizi kupitia shindano la kudukua (HACKING COMPETITION).

Shindano hilo lipo kwa ushirikiano na kampuni ya Silensec litawajumuisha wanafunzi wote wa vyuo vya Tanzania watakaojisajili kupitia tovuti yao ya cyberstars. Tanzania inakua nchi ya pili ya Afrika Mashariki baada ya Rwanda kujiunga katika shindano hilo.

Shindano la udukuzi linalenga wanafunzi wa vyuo wenye uri kati ya miaka 18-24 wanaosoma masomo ya Sayansi ingawa hata wale ambao hawasomi masomo hayo lakini wanapenda kufahamu namna ya kulinda taarifa wanaruhusiwa kujiunga kwenye shindano hilo.

Hii ni nafasi kubwa kwa wanafunzi na watu wengine kuonyesha ujuzi wao katika nyanja hii ya udukuzi ambao kwa hili tunaita udukuzi wa faida kiasi kwamba kama utaonyesha uwezo wako mkubwa wa kudukua na kujilinda na mashambulizi basi utakuwa umejiongezea nafasi kubwa ya kutambulika kitaifa na kufikisha ndoto zako kuwa za kweli.
Shindano hili ni muhimu hasa kwa wanafunzi kwani linaongeza ujuzi kuzingatia wataalamu wa usalama wa kompyuta tanzania ni mdogo sana hivyo kama wewe ni mwanafunzi basi tembelea kwenye tovuti yao ya CyberStarhalafu fanya usajili subiri maelekezo ambapo washindani watapewa makabrasha ya kusoma kwa muda wa miezi 6 kabla ya shindano kuanza.

++++++++>https://cyberstars.pro/tanzania-joins-cyberstars-competition/

+++>https://cyberstars.pro/tanzania/


Tukutane hapo: NB usajili mwisho kesho.
1280by669px_cyberstarsoftanzania2019_competitions-jpg.1099233
 

Attachments:

N

NAKWEDE

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2007
Messages
24,069
Points
2,000
N

NAKWEDE

JF-Expert Member
Joined Aug 1, 2007
24,069 2,000
Isije ikawa ndio wanatafuta WADUKUAJI!!!
 
Ubombo

Ubombo

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2018
Messages
299
Points
250
Ubombo

Ubombo

JF-Expert Member
Joined Jun 27, 2018
299 250
Ni nzuri mambo tunayotaka ndo kama hayo.
 
Thefreedom

Thefreedom

Senior Member
Joined
Jan 27, 2019
Messages
193
Points
250
Thefreedom

Thefreedom

Senior Member
Joined Jan 27, 2019
193 250
Gud lucky kids.....

Naona wanakamilisha research zao.....
 
AbraDaVinci

AbraDaVinci

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2017
Messages
530
Points
500
AbraDaVinci

AbraDaVinci

JF-Expert Member
Joined May 23, 2017
530 500
wenye njaa wataenda ila wanaojua umuhimu na misingi yetu hawata kubali kutotumika vibaya tutakuwa lab tunasubiri mirejesho, #hamtupati
 
BOB OS

BOB OS

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2011
Messages
2,016
Points
2,000
BOB OS

BOB OS

JF-Expert Member
Joined Dec 11, 2011
2,016 2,000
I hope itakuwa ni CTF..........
 
mkorinto

mkorinto

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2014
Messages
11,696
Points
2,000
mkorinto

mkorinto

JF-Expert Member
Joined Jun 11, 2014
11,696 2,000
Hii ndio mabadiliko tunataka kuyasikia.

Lakini pia waseme kiduku kipanga atapewa zawadi gani kama motisha.
 
mikedean

mikedean

JF-Expert Member
Joined
Mar 15, 2018
Messages
1,044
Points
2,000
mikedean

mikedean

JF-Expert Member
Joined Mar 15, 2018
1,044 2,000
Bashite AKA makonda nae si aslikuwa aliitisha ajira za wataalamu wa IT hasa udukuzi?????
 

Forum statistics

Threads 1,295,919
Members 498,479
Posts 31,228,043
Top