Changamoto ya Hard Disk mbovu

Rad020

Member
Mar 18, 2017
47
51
Wakuu habari zenu. Nina harddisk yangu haisomi kwenye pc nikiskiliza mlio wake ni kama mashine yake kwa ndan imekwama hivi, inagonga.

So anaefaham namna ya kurecover files au anafaham fundi anaeweza kunisaidia naomba anisaidie mana hapa nimekwama nimeshauliza mafundi mbalimbali ninaowajua wameniambia hiyo ni kesi ngumu.
 
Kama hujaifungua jaribu parted magic au ubuntu, maana haitaweza kusoma kwenye pc ya windows
Kwenye parted magic, uta mount hiyo disk kisha kopi
Ikikataa tumia parted magic ya hirens, boot hirens kwenye flash sio cd.
 
Kama unasikia milio sio ya kawaida hiyo ni hardware issue software hazitakusaidia na fundi wa HD bongo hakuna unaweza kujaribu baadhi ya tricks kama kuiweka kwenye friza (ndani ya mfuko isiloe) au kuigonga gonga taratibu ili huo mkono ulionasa ufyatuke lakini yote hayo ni kama umekubali kuwa hizo data 99% zitapotea so hizi ni desperate measures.
 
Napo kutoboa ni ngumu nishatumia sana hizi measurements ila mpaka sasa nina zaidi ya HDD 5+ tu zimeshajifia zake nmeamua kuhamia SSD na kuachana na hayo matakataka..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom