Nashindwa kujisajili tweeter (X) Tatizo nini

Nashindwa kujisajili tweeter (X) Tatizo nini

Mtukutu Mkuu

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2022
Posts
1,174
Reaction score
1,493
Nimefata process nzima the end Ina faili inasema hivyo "We cannot currently register this number "
Screenshot_20231225-143912.jpg
 
Mimi nimeamua kuachana nayo, Inapeleka mpaka sehemu ya kufananisha sauti au picha, ila mwisho wa Siku hamna mafanikio.
 
X inazingua sana kwenye ishu za just sign/Sigup yaani ukibadili simu uanze ku login mpaka ufanikiwe jasho lazima litoke jasho
 
option ni tatu tu chagua moja: 1. Badili ip address, 2. clear cache ya simu yako, 3. tafuta simu ambayo haina twitter jisajili itakubali.
 
Back
Top Bottom