Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

JF Prefixes:

Jaman naombeni msaada wenu niwapi naweza pata origional batteries za blackberry?
0 Reactions
0 Replies
454 Views
Bila shaka tunatumia Keyboards kwa laptops, desktops na pia vilevile virtual keyboards kwa touch devices.Have you ever wondered as to who came up with the universal arrangements and sequence of...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wakuu, hiyo simu kuna mtu alikua anabofya-bofya, hatimae ujumbe ukasomeka hivyo. Hai-respond kwenye chochote. Kuizima hadi utoe betri, na kuwasha ni kwa kubonya 'Power button + Vol down/Up...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ninaexternal hard disk ya GB 500 nikiiconnect na computer inawaka taa then inazima afu haiconnect tena kama kuna mtu alowahi kuexperience shida hii please nisaidie solution! Na kama imekufa is...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Habari za uzima wana jf....wakuu nina compyuter yangu hua ninaitumia kila siku bila kunisumbu ila leo kila nikiiwasha inatoa mlio kama wa alarm hivii nikajaribu kufungua ili nijue mlio huo...
0 Reactions
3 Replies
907 Views
wakuu nimesubscribe Lectures za Online lkn inataka niwe na stream tu yaani IDM haidetect hii video sasa nitumie downloader gani kuipakua... N:B:Hii video ilikuisikiliza lazima uwe Logined in...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
samahani ndugu zangu,nina cm nokia c2 imeacha ghafla kudisplay.ukipigiwa inaita vizuri tu na sms unazisikia zikiingia ila screen ndo ipo giza tu. naomba msaada wenu mwenye wazo la...
0 Reactions
0 Replies
531 Views
Ningependa kujua tofauti kati ya Nuclear Bomb na Atomic Bomb. Na lipi lenye madhara makubwa ukilinganisha na jingine Lililo angushwa HIROSHIMA ni Atomic au Nuclear Bomb Nawasilisha
0 Reactions
26 Replies
8K Views
unconfirmed news Zinasema kwamba microsoft wa release Windows 9 mnamo 2014 or early 2015 . hii imetokana na Windows-8 kutokuwa na features mpya sana ambazo ni zaajabu tofaut na Windows-7...
2 Reactions
12 Replies
1K Views
  • Redirect
wakuu sasa unaweza kushusha video za youtube bila kutumia IDM au software ya pembeni now ni kwamba unaweza kuwa na baton ya Neno download chini ya video ya youtube bofia link Hapa chini Download...
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Download any youtube video for free..! Follow link: HOW TO DOWNLOAD ANY YOUTUBE VIDEO-FAST & FREE! - HOW SCIENCE
0 Reactions
Replies
Views
habari wakuu ntawezaje kuongeza speed ya intrnet yangu wakuu msaada wenu natumia pd proxy!11
0 Reactions
2 Replies
693 Views
Wadau naomba kujuzwa bei ya simvajwa hapojuu ni hayo
0 Reactions
0 Replies
673 Views
Habari. Jana niliunga cable ya Local Area Connection (LAN) katika Laptop ya office flani. Ika connect fresh na inaandika speed ya net 100Mbps. Ikawa ina Send tu Packets (namba zinaongezeka) ila...
0 Reactions
2 Replies
605 Views
Anaye jua wap znapatkana anjuze,au kama mtu anayo an-pm tufanye biashara!
0 Reactions
0 Replies
510 Views
Disclaimer: We chose NOT to put this "dictionary" in alphabetical order because we believe it follows a logical order from basic to more advanced H@cking knowledge that will be easier for the...
0 Reactions
1 Replies
986 Views
Wakuu naomba msaada wa kufanya settings za internet kwenye simu yangu. Natumia tiGo na simu ni Sony Xperia.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
natumia sony ericson w960i nataka kuchange touch pleaz msaada wa kumpata fund
0 Reactions
0 Replies
579 Views
Imegundulika kwamba LG Smart TV zinafanya upepelezi kwenye nyumba yako na kutuma habari LG makao makuu,,,,ukiweka USB yako habari zako zote zinatumwa kwenye LG server hata kama umeswitch off...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
galaxy note 3.. znasumbua sana.. znastaki sana.. solution n nn?
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Back
Top Bottom