nahitaji kununua laptop sio nyingi lakini tatizo sijajua laptop ipi ni nzur na bora kuliko nyingine.
Consideration;
Battery, Rom, Ram, webcam, etc
Please nahitaji ushauri wako..
Nawasilisha.
Mkuu Laptop nzuri kwa sasa ni ASUS from USA,i5,ina CD ROM,HDD 640,RAM 600 BADALA YA 500,Inshort ni Laptop moja nzuri sana,wakati nahitaji nilishauriwa na mtu mmoja ambaye ni mtaalamu wa haya mambo na nimeinunua nzuri sana.
Mkuu vena ninakusahihisha hapa kidogo tu kuhusu hiyo Lapop ya .Hp g60 au Dv6 ni ya upuuzi pia lakini hizo mbili yaani 1.Apple(mac book pro or macbook Air) na hiyo 3 Asus EE. ndizo Laptop kiboko kweli zilizo baki ni Upuuzi mtupu na ushenzi mtupu Pumba hazifai hata kidogo.list
1.Apple(mac book pro or macbook Air)
2.Hp g60 au Dv6
3.Asus EE.
zilizobaki ushenzi mtupu!
make sure zina support from Intel or Apple, coz wanaproduce vifaa vya uhakika
Mkuu NingaR Asus kitu hicho ............. Asus N56VM-RB71 Laptop, Intel Core i7-3610QM 2.3 GHz, 8GB Ram, 15.6 FHD Screen, NVIDIA GT 630M 2GB graphics, 750GB HDD, DVD Burner, Windows 7 Home PremiumASUS wana model nyingi so hiyo ni model ipi??
Mkuu NingaR Asus kitu hicho ............. Asus N56VM-RB71 Laptop, Intel Core i7-3610QM 2.3 GHz, 8GB Ram, 15.6 FHD Screen, NVIDIA GT 630M 2GB graphics, 750GB HDD, DVD Burner, Windows 7 Home Premium
Product Features
3rd generation Intel Core i7-3610QM Quad Processor 2.3GHz, Color: Black Aluminum
8GB Shared Dual Channel DDR3 Memory, 750GB 7200 RPM Hard Drives
NVIDIA GeForce GT 630M 2GB graphics, DVD/CD Burner (Reads and Writes to DVD/CD)
15.6in HD LED Screen (1366x768), 6-cell Lithium Ion Primary Battery, Backlit Chiclet Keyboard with number key pad
Genuine Windows 7 Home Premium 64bit, 802.11 b/g/n, Bluetooth 4.0 , Integrated 10/100/1000 Network Card
Product Information
Screen Size 15.6 inches
Processor Intel Core i7
RAM 8 GB
Hard Drive 750 GB
Graphics Card Ram Size 2000 MB
Expand
Other Technical Details
Brand Name Dell
Item model number N56VM-RB71
Hardware Platform PC
Processor Brand Intel
Computer Memory Type DDR3 SDRAM
Hard Drive Interface Serial ATA
Bei yake ni Dola1700 ukihitaji wasiliana na mimi kwa njia ya Email yangu hii hapa fewgoodman@hotmail.com
hiki kitu cha ASUS kinavutia balaa
Sony Vaio SE (Core i5 2430M
Processor 2.4GHz, 4GB RAM)
hiyo hiyo uliyosema pia nzuri hata hii hapa niliyoweka pia nzuri kuna kitu kingine hichi hapa Kiboko yao na Bei yake ni kubwa Dollar2200 pamoja na usafirishaji na Garrant miaka 2.Angalia hii kitu NingaRsio siri mashine imenitoa udenda tatizo ni bei(Kumbe tatizo sio bei ni hali yangu ya kiuchumi).
kwa sasa nataka nipate angalau yenye 3rd gen Intel i5, una recommend ipi mkuu?
hii hapa ndio inakufaa kwa gharama ndogo mkuu NingaR Bei yake Dola 1200 na Warranty miaka 2 ikiharibika unatengenezewa bure.hata miki kinanivutia tatizo bei ni Nowma kama vile Tsh.2,672,00/= mzee kweli vizuri gharama.
Mkuu MziziMkavu mi nitafutie angalau yenye Intel i5 na 15.6" display
hii hapa ndio inakufaa kwa gharama ndogo mkuu NingaR Bei yake Dola 1200 na Warranty miaka 2 ikiharibika unatengenezewa bure.
»PROCESSOR : Intel Core i5-2430M 2.4 GHz. (3.0 GHz Turbo Boost Technology.) 3 MB Cache Memory Processor
»RAM : 4 GB DDR3 1333 Mhz. (Max.8 GB) RAM
»HARD DISK : 500 GB SATA (5400 rpm) HDD
»Graphics Card : Max.1696 MB of DDR3 Intel HD 3000 Graphics Card
»OPERATING SYSTEM : Tr-Eng Microsoft Windows 7 Home Premium (64 Bit)
» 4 GB DDR3 1333 Mhz. (Max.8 GB) RAM
» 500 GB SATA (5400 rpm) HDD
» Microsoft Windows 7 Home Premium Eng-Tr (64 Bit)
PRODUCT FEATURES
PROCESSOR Intel Core i5-2430M 2.4 GHz. (3.0 GHz Turbo Boost Technology.) 3 MB Cache Memory Processor
PROCESSOR TYPE Intel Core i5
RAM 4 GB DDR3 1333 Mhz. (Max.8 GB) RAM
HARD DISK 500 GB SATA (5400 rpm) HDD
OPTICAL DRIVE DVD-RW Double Layer
OPERATING SYSTEM Tr-Eng Microsoft Windows 7 Home Premium (64 Bit)
Graphics Card Max.1696 MB of DDR3 Intel HD 3000 Graphics Card
SCREEN SIZE 15.6'' LED HD (1366x768)
DISPLAY RESOLUTION 1366 x 768
AUDIO OUTPUT Dolby Digital
BATTERY
BATTERY TIME 3 hours (depending on usage conditions, the maximum period of time)
WEBCAM
WEBCAM There is
NETWORK
ETHERNET RJ45 10/100/1000
WIRELESS LAN 802.11 n
RJ11-MODEM No
BLUETOOTH No
DIMENSIONS AND WEIGHT
WEIGHT 2.6 Kg
INTERFACES
USB (2.0) 2
USB (3.0) 1
E-SATA No
HDMI 1
VGA 1
IEEE 1394 No
CARD READER 1
EXPRESS CARD SLOT No
HEADPHONE OUTPUT 1
FINGERPRINT No
MINI DISPLAY PORT No
WARRANTY
WARRANTY PERIOD 2 Years
Ukihitaji nitumi Email Address yangu ni hii hapa fewgoodman@hotmail.com