Tecno phantom a+ kujizima yenyewe

Tecno phantom a+ kujizima yenyewe

Taylor Gang Jr

Senior Member
Joined
Jul 2, 2013
Posts
131
Reaction score
7
Habari wakuu,Nina techno phantom a+ IPA imeanza Kuwait name tatizo La kujizima yenyewe ghafla ninapotumia,au kioo kuwa Giza mpk nitoe battery name kuiwasha upya.
Nimejaribu factor reset lakini haijasaidia...Tatizo linaweza kuwa ni nini ??
 
Mkuu tecno majanga sasa hivi. Jaribu kuwatembelea pale ofisini kwao watakusaidia
 
Yangu ilikuwa inafanya hivyo. Nika uninstall some applications. Tatizo linaweza kuwa application. Punguza wingi wa application. Pili install antivirus.
 
Tatizo ni dogo punguza vitu umeweka vitu vingi nafasi imebaki kidogo hasa kwenye internal
 
Back
Top Bottom