Kwa wanaotumia samsung galaxy s4 model gt-I9500

Kwa wanaotumia samsung galaxy s4 model gt-I9500

PowerWithin

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2014
Posts
645
Reaction score
501
Wadau natumia simu tajwa hapo juu original.

Sasa nimekwama kitu kimoja muhimu sana kwangu. Mara zote nimekuwa nikitumia option zilizopo kwenye menu button ku save profile pictures za wadau wangu wa whatsapp.

Yaani nilikuwa naweza kuchukua any profile picture ya mdau wangu wa whatsapp na kuidumbukiza kwenye gallery yangu, sasa kuanzia leo asubuhi menu button ya simu yangu hainipi tena hio option,

plz mwenye kujua namna kusaidia katika hili asisiti kufanya hivyo, msaada wako ni muhimu sana. Ashanti sana!
 
mwanzo ulikua unatumia version ya zamani sasa hv ume update version mpya za whatsap haziruhusu kusave profile pic.

tumia option ya screenshot kusave profile pic ukishafika pale kwenye profile pic bonyeza home button na power button kwa mpigo itajisave kwenye simu.

Galaxy-s4-screenshot.jpg


hapo utakua umemaliza kazi.

nyongeza
sababu ni screenshot maybe utataka kutoa vitu na kueka picha ya profile tu. nenda playstore search aviary then tumia hio software ku crop picha
 
Chief-mkwawa nashukuru sana, lakini pia nimepata option nyingine rahisi na bora zaidi ya kuchukua hizo pics......naendelea kuinjoi tu!
 
Back
Top Bottom