Msaada: Anti-virus

Msaada: Anti-virus

clet 8

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2011
Posts
1,127
Reaction score
323
Nimenunua Anti-virus aina ya Kaspersky 2014 Internet security (3-user), Nimeinstall . Cha ajabu nilipo-apdate imechukua muda mrefu sana mwisho inaniandikia ujumbe huu 'Data base are out of date !
 
Hata mimi nimeshakutana na tatizo kama hilo kwa hizi za 2014 nikarudie tena ku-update kama mara nne mwishowe nikaitoa na ku-install upya lakini bado inaleta status ya out of date wakati inaji-update mpaka kufika 100%.
 
Inapofikia hapo, endelea kusubiri kwani inaweza kuchukua tena hata dk 30.
Binafsi nimeweka.
 
fanya hvi update pc yako then update antvirus
 
Back
Top Bottom