Wala sijaifanyia majaribio

Wala sijaifanyia majaribio

Mwanyasi

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2010
Posts
7,954
Reaction score
7,113
Kuna mahali nimeiona
How To Recharge Mobile Without Electricity

How to recharage mobile without Electricity

1- Open your mobile cover
2- Take out your battery
3- Take two to three fresh leaves of peepal/pipal/ ashwattha tree
4- Touch the stub of these leaves on your mobile battery terminal for a minute
5- Clean the mobile battery terminal with the soft cloth
6- Put your battery again in your mobile and switch it on
7- Now you can see the result
8- If required repeat the process with fresh leave
 
Kuna nyngne, unasugua battery kwenye shuka... hiyo nishawah kufanya na cm ikawaka tena, full charge
 
mkuu ushawahi kutest kucharge kwa kutumia hayo majani..!?
 
Kuna nyngne, unasugua battery kwenye shuka... hiyo nishawah kufanya na cm ikawaka tena, full charge

mkuuu hembu funguka vizuri naona kama unakitu lakini umekatiza mbio sana.
hembu rudi taratibu kwa mwendo wa kinyonga .
 
mkuuu hembu funguka vizuri naona kama unakitu lakini umekatiza mbio sana.
hembu rudi taratibu kwa mwendo wa kinyonga .
Umeme ulikatika, na mm ninashida na cm ambayo wakat huo haina kabisa charge.... Basi nikatoa battery, nikakumbuka Physics, Pale kwenye Friction Force.... hvyo nikawa nasugua battery kule kwenye sehemu za kuwekea kwa muda wa dk 5 hv... kisha nikarudisha kwenye cm.. ikawaka tena full charge... umenipata..?
 
Duh! Noma sana. Ngoja umeme ukatike nitajaribu.

Off topic nmependa avatar yako n username yake.
 
kuna nyingine unachukua Maji kwenye glass
Afu una inamisha simu yako kwenye Tundu la headphones hakikisha inazama lakini sio yote....
Kwa dakika moja tu.....
Ila sana sana kwenye android hz
.
Sent From My Nokia XL kwa kutumia JamiiForums App
 
tusiamini kila kinachowekwa kwenye internet!..kucharge kwa kutumia majani ,shuka,maji,pilipili n uzushi.
 
tusiamini kila kinachowekwa kwenye internet!..kucharge kwa kutumia majani ,shuka,maji,pilipili n uzushi.

Mkuu fanya jaribio kisha uje na majibu, otherwise stay kimya.
 
Hebu jaribu ya kutumbukiza kwenye maji simu upande wa tundu la headphones uje utupe majibu........
Zakuambiwa changanya na zako

Sayansi siyo hadithi, ni vitendo!
utachanganya na zako lakini jibu hutalijua
 
Za kuambiwa + zako ndo mje na majb, me wacha ntest kwa cm ingne
 
Sayansi siyo hadithi, ni vitendo!
utachanganya na zako lakini jibu hutalijua

Sayansi pia inataka logic, it doesn't come from nowhere
We mtu akikwambia ukinya mavi uyafunge kwenye kiroba baada ya wiki yatageuka kuwa Teno phantom A+ utafanya majaribio kwakuwa sayansi ni vitendo?.........logic kwanza
Changanya na zakwako
 
nimeipenda hii kiukweli...
#Tecno phantom A+ 😀
 
IPO period itafika unanunua chaji kwa m pesa au Ka vocha
 
nokia sasa hivi wamezindua kifaa kinachochaji simu kwa mitikisiko. mfano upo club au eneo lolote unacheza mziki au kunatingishika unakifunga kwenye mwili halafu unakiconect na simu kinachaji. bado kipo stage za awali kwani kinachaji kidogo dogo sana ila research zinaendelea.

Nokia kinetic phone charging made real: dancing for power - SlashGear

tunaelekea age za kutochaji simu sasa

Hapana mkuu, hatuwezi kuacha kuchaji simu kabisa, tunaelekea age za kuchaji simu kwa njia mbadala tofauti na tuliyozoea ya kuweka kwenye umeme.
 
Back
Top Bottom