Wajanja night imeongezwa bei au kuna tatizo?

Wajanja night imeongezwa bei au kuna tatizo?

poposindege

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2010
Posts
456
Reaction score
175
Tangu juzi kila nikijaribu kuunga wajanja night
majibu ninayopewa ni kwamba salio langu halitoshi.
Nimejaribu kuweka 1000 majibu yamekuwa ni hayo hayo.
je tatizo hili ni kwangu au na kwa wengine? Na je wameongeza bei ya kujiunga au ni vipi?
Au kuna tatizo la huko voda?
Mwenye majibu tafadhali funguka
 
Niliwapigia jana wakadai kuna tatizo nijaribu kujiunga saa nne, lakini kiukweli voda ndo basi washafulia na mda si mrefu wateja watawakimbia sana
 
Wa2 mna2mia sana,labda 2wekewe fiber mpaka majumbani kwe2 2050 ndio net itakua afadhali bongo
 
nmewasiliana nao asubuhi wakasema kulikuwa na matatizo ila kuanzia leo itakuwa fresh
 
Njunwa kama kawaida yao washariport kwa mabwana zao,so ikirudi sasa hv inakua vizuri saa 4 mpaka saa 12,mwisho no ku2mia mchana
 
Itakua injection ya ng'ombe safari hii,sasa cjui wa2 watakula wp net heheheeee,vpn kwao,https kwao,wajanja night mchana kwao........ilakwakua hawa vilaza watazingua sehemu nyingine,tutaendelea na net ze2 zakuunga unga

hahahaha mkuu me nilikuwa nafaidije daah nahsi kuna mijitu ilipeleka data imenichefua kweli
 
Unajua sio hyo 2 ,me nimejarb kununua cheka asbh imefail na uku nikiwa na buku
 
mara ya mwisho mi nimedownlaod 12 gb guess walikuwa na matatizo
 
Daaah? ila voda hata watuonee huruma hiyo Gb moja kwa heavy downloaderz haitutoshi ni sawa na mtu ana njaa af unampa karanga atafune, ila juzi niliuchubua kimyaaaa nikala siku zangu mbili hadi mchana akaaa,ila huyo mbuzi aliyeripoti tukimjua atatubu tu,., sio mbaya voda wanaelekea shimoni in terms of data ikiwa wataendeleza ka Gb moja kao,,,
 
Line ze2 hazina pesa yakujiunga bando,behehhhe samahani huna salio lakutosha
 
Daaah? ila voda hata watuonee huruma hiyo Gb moja kwa heavy downloaderz haitutoshi ni sawa na mtu ana njaa af unampa karanga atafune, ila juzi niliuchubua kimyaaaa nikala siku zangu mbili hadi mchana akaaa,ila huyo mbuzi aliyeripoti tukimjua atatubu tu,., sio mbaya voda wanaelekea shimoni in terms of data ikiwa wataendeleza ka Gb moja kao,,,

Vodacom ni mtandao pekee unaotoa Unlimited ya Internet ya mwez sasa
Bei 40,000/- kama wewe kweli ni heavy downloader kama unavyodai wewe basi hii itakufaa sana
 
Vodacom ni mtandao pekee unaotoa Unlimited ya Internet ya mwez sasa
Bei 50,000/- kama wewe kweli ni heavy downloader kama unavyodai wewe basi hii itakufaa sana

.
Means wamepandisha tena juzi juzi kutoka 40,000/=
.
 
Tangu juzi kila nikijaribu kuunga wajanja night
majibu ninayopewa ni kwamba salio langu halitoshi.
Nimejaribu kuweka 1000 majibu yamekuwa ni hayo hayo.
je tatizo hili ni kwangu au na kwa wengine? Na je wameongeza bei ya kujiunga au ni vipi?
Au kuna tatizo la huko voda?
Mwenye majibu tafadhali funguka

Nadhani kuna shida upande wa voda labda na hicho kifurushi chao mkuu, maana toka juzi nami nimejaribu inasema salio halitoshelezi na nilikuwa na kama 1000 balance. Tatizo hakuna update yoyote waliyotoa hawa waheshimiwa kuhusiana na hili..
 
Back
Top Bottom