unlock huawei ascend

unlock huawei ascend

g4cool

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2012
Posts
431
Reaction score
211
Wakuu kuna hizi simu zinazouzwa na Tigo, huawei ascend y200 na y300, zinatumia line moja tu ya tigo, je kuna maujanja gani ya kuziunlock ili ziwe zinatumia line zote?? thanx
 
Ukijaribu kuzi-unlock tu imekula kwako.
 
Wakuu kuna hizi simu zinazouzwa na Tigo, huawei ascend y200 na y300, zinatumia line moja tu ya tigo, je kuna maujanja gani ya kuziunlock ili ziwe zinatumia line zote?? thanx

Mi mwenyewe naitumia ila tigo wanaboa kwenye vifurushi vyao
 
Nunua cha elf 15 unlimited kwa mwz.

Hakuna cha " unlimited" wala nini, mi nanunua KABANG elfu kumi kwa wiki wanasema unlimited internet kumbe ni kubrowse tu na si vingine, wanakupa GB1 tu ya kustream au kudownload.
 
Hapo ndio unakosea.
 
Wakuu mnaeza mniambie kama Y300 zisharudi madukani.
 
inawezekana,kuna jamaa pale kariokoo wanafanya hizo mambo,mi walinifanyia kwa 15.
 
By M.E.M.A<br />
Nunua cha elf 15 unlimited kwa mwz.
<br />
<br />
Hakuna cha &quot; unlimited&quot; wala nini, mi nanunua KABANG elfu kumi kwa wiki wanasema unlimited internet kumbe ni kubrowse tu na si vingine, wanakupa GB1 tu ya kustream au kudownload.

mkuu sidhani kama ni kweli mimi nnatumia kabang, nnaitumi kwenye simu, pamoja na wareless kwenye pc na tablet
 
Acha ubishi, KABANG ni GB moja tu ya kudownload, ikiisha, utaishia kubrowse tu wiki nzima hata file ya 500kb huwezi kudownload, km unabisha download kitu chochote chenye size ya GB 1 then jaribu kudownload au fungua youtube km itafunguka.
 
Back
Top Bottom