Mbona speed ya kawaida hiyo Amia smile speed 3mbs na haikatikati na haina msimu
Hapa kuna aina mbili za uandikaji either kbps au mbps , na kb/s au mb/s
- Mwenzio anazungumzia 700 kb/s
- Ambapo uki_convert kuwa katika unit zako itasoma 5.6mbps , hivyo kuizidi hiyo speed ya 3mbps
- Mkuu Kind fafanua hii yako iko upande upi 3mbs
inazingua sana tangu saa kumi usiku nikabadili nimeweka tigo mie.