Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

JF Prefixes:

wakuu akaunti yangu ya facebook imefungiwa ni mwaka sasa sijaweza kuingia,. Mara ya mwisho kuingia waliniambia kwamba nimesahau password wakasema wataituma kupitia namba yangu ya simu...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nimedownload kitabu online ila kimefanyiwa encyption za Winzip with password, So ukilifungua hilo file linadai password, ambazo kuzipata mpaka ufanye survery za online ambazo nimehangaika kama...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Habar ya sasa wakuu, heri ya mwaka mpya kwenu. Ninashida na internet service kwa ajili ya tablet yangu ya mtandao wowote ile iwe cheap na yenye speed Thanx in Advance.
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Jaman msaada jinsi ya kuunganisha internet sharing kwenye nokia lumia 620 maana kila nikiunganisha inaandika " internet sharing us unavailable" msaada jamani wana Jf
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Dear Friends in JF, I badly need your help!! I know JF is full of great thinkers. Mtu kaniletea simu SAMSUNG GALAXY Gio GT S5660M toka Canada. Ni GSM Kwa bahati mbaya hii simu iko locked...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
msaada wa hii ktu jamani, ni app gani itayoniwezesha kuona mpira live? hasa ligi ya uingereza
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wapi naweza kudownload vitabu hasahasa vya shule mwenye kujua naomba anisaidie iwe ni vyepesi kupata na iwe ni free
0 Reactions
3 Replies
1K Views
habari zenu wakuu.. naomba mnijulishe bei ya BLACKBERRY q5 kwa hapa TZ..
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari wapendwa kwa mwenye Cm Android Yoyote ama Tajwa ahapo juu, ajongee tufanye biashara me nipo mbeya:clap2:
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Wakongwe wa it mtiririke mi nimemeambiwa na jamaangu eti zipo mfano hii ''hellospy'' nimejaribu i down load naona longolongo
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habar wakuu, nilikua naomba kujuzwa kama inawezekana kwa namna yeyote kutoa hela uliyo tumiwa kwa njia ya WESTERN UNION bila MTCN.
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Nina shida na webiste developer kwa ajili ya ku-develop website fulani hivi...siongelei simple template yenye pich moja bali complex website yenye functionality na uwezo wa kuhandle data za...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Katika pita pita zangu hapa Arusha. Nimeanza kuziona City Call zinauzwa. Hebu kwa waliowahi kuzitumia watupe pros na cons zake. Kama vile tulivyochambua tecno mobiles. Thanks in advance
0 Reactions
1 Replies
760 Views
nataka kujifundisha ufundi wa computer hardware wapi naweza kupata?
0 Reactions
2 Replies
2K Views
habari waheshimiwa.naomba msaada wenye uzoefu na haya mambo.kuna jamaa yangu alimuona muuzaji ktk site ya Nifahamishe uza na nunua.ana uza mobile phones location hungury ila contacts zake za...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Habari zenu wana-JF Nikiwa katika mchakato wa kuagiza gari, nimekutana na vitu vifuatavyo ambavyo ningependa ufafanuzi wenu wadau wa JF. Kwa ujumla sijaelewa tofauti kati ya "Motor vehicles with...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Facebook doesnt have a simple way of deleting specific data from ones timeline including old posts, comments and likes that a person would like to have removed from his or her profile, Slates...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Kuna hii nimetumia kwenye php "preg-replace("/[^a-zA-Z0-9\s]/","",)" without "" mwanzo na mwisho lakini nashindwa niongeze character ipi ili enter key ikubali yani mtu akipress enter iende next...
0 Reactions
10 Replies
884 Views
Je mnaweza kunielekeza wap naweza pata ichi kifaa ama mtu aniuzie, me nipo Mbeya
0 Reactions
11 Replies
5K Views
Mystery solved: Why dogs spin in circles before doing their business By Chris...
0 Reactions
0 Replies
444 Views
Back
Top Bottom