Unachouliza na hizo code ni vitu viwili tofauti, hizo ni vailidation za text input, Labda ungeweka code zako hapa tukusaidie kutafuta error.
Hamna uhusiano wa hiyo php na Enter key kwenye text field. Kama unataka kkumwezesha mtu kuenter multiple lines za text tumia <textarea> (HTML textarea tag) kwenye HTML yako, kwenye textarea ukibonyeza enter ndo unapata new line.
Stefano Mtangoo Asante sana Mkuu nimefanikiwa....PHP:$stefano = "Some funny text from text area"; $stefano = someValidationFunction($stefano); echo nl2br($stefano);
HTH
Enjoy! :hungry:Stefano Mtangoo Asante sana Mkuu nimefanikiwa....